Sunday, July 31, 2016

ALLAH KATEREMSHA AYA NA KUKIRI KUWA ANAPELEKA WAISLAMU JEHANNAM

KUMBE MUHAMMAD NA WAISLAM WOTE WATAINGIA JEHANNAM?
Mimi sina mengi ya kusema, zaidi ya kuanza na aya moja kwa moja.
Allah anateremsha aya na kusema haya kwa Waislam:
Quran Surah 19: 71. Wala hapana yeyote katika nyinyi Waislam ila ni mwenye kuifikia hiyo Jehenamu. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe. 72. Kisha tutawaokoa wale walio mcha ALLAH; na tutawaacha madhaalimu humo wamepiga magoti. ..................................DAAAH
ALLAH ANASEMA KUWA, AMESHA WAHUKUMU WAISLAM WOTE NA LAZIMA AITIMIZE HIYO HUKUMU YA WAISLAM WOTE KUINGIA JEHANNAM.
Jamani, hivi kuna ugumu gani au nini kigumu hapa. Mbona Allah amesha maliza kuwa Waislam wote wataingia Jehannam?
NAJUA WAISLAM wataanza kupinga ooh, wewe huijui Quran, ooh wewe umepindihsa aya, ngoja niongeze aya zingine kutoka Quran yao inayo wamaliza tena.
SURAT AT-TAKAATHUR, iliyo teremka Makka inawaambia Waislam:
3. Sivyo hivyo! Mtakuja jua!
4, Tena sivyo hivyo! Mtakuja jua!
5. Sivyo hivyo! Lau mngeli jua kwa ujuzi wa yakini,
6. Basi bila ya shaka mtaiona Jahannamu!
ALLAH anawaambia Waislam sivyo hivyo, ikimaanisha kumbe Waislam wanacho kielewa sio sahihi.
Kumbukeni kuwa, hizi aya anaziteremsha Allah kwa Mtume wake Muhammad. ALLAH ANAMWAMBIA MUHAMMAD KUWA " aya ya 3 Sivyo hivyo! Mtakuja jua!"
SASA KWANINI ALLAH Hamwambii ukweli Muhammad moja kwa moja? Kwanini Allah asubiri mpaka Kiyama ndio Waislam watakuja jua kuwa Allah ni bandia na anawaingiza Jehannam?
Huu ni msiba mkubwa sana.
WAISLAM WAMEINGIZWA MKENGE:
1. Waislam wanadai kuwa wataingia Akhera - ALLAH ANAWAJIBU Surat Al Takaathur aya ya 6. Basi bila ya shaka mtaiona Jahannamu!
2. Waislam wanadai kuwa Wanafuata dini ya Mwenyezi Mungu. ALLAH ANAWAJIBU Kupitia Surat Al Takaathur aya ya 3 Sivyo hivyo! Mtakuja jua!
3. Waislam wanadai kuwa Uislam ni dini ya Mwenyezi Mungu. ALLAH ANAWAJIBU kupitia Surat Al Takaathur aya ya 4, Tena sivyo hivyo! Mtakuja jua!
4. Waislam wanasema kuwa eti Quran ni Kitabu cha mwenyezi Mungu, ALLAH ANAWAJIBU KWA KUSEMA Surat Al Takaathur aya ya 5. Sivyo hivyo! Lau mngeli jua kwa ujuzi wa yakini,
Ndugu zanguni, hivi hizo aya zina ugumu gani? Mbona zipo wazi kabisa na teyari ALLAH amesha anza kuwakana kwa kusema SIVYO HIVYO.
ALLAH AMESHA SEMA KUWA, WANACHO KIJUA WAISLAM, SIVYO HIVYO.
ALLAH anasema kwa Waislam kuwa, Quran Surah 19: 71. Wala hapana yeyote katika nyinyi Waislam ila ni mwenye kuifikia hiyo Jehenamu. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.
MKRISTO MWENYE AKILI ZAKE HAWEZI KUKUBALI KUWA KATIKA HILI KUNDI LA JEHANNAM.
Waislam, nawakaribisha kwa Yesu ambaye yeye hapeleki watu Jehanna.
Njoo leo na upate uzima wa milele.
Mungu awabariki sana.
Ni mimi Max Shimba, mtumwa wa Yesu Kristo

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW