Friday, June 3, 2016

UTHIBITISHO WA KIMAANDIKO KUHUSU MACHO YA ALLAH

Ndugu zanguni,
Waislam huwa wanapenda kusema kuwa Allah yeye hana mfano. Lakini tunapo zisoma aya na hadith mbali mbali tunagundua kuwa, Allah anafanana na binadamu.
ALLAH KAANDIKWA KAFIR KATI YA MACHO YAKE
Hadithi ya Anas (r.a) amesema, Mtume (s.a.w) amesema, "Hakuna Mtume aliyetumwa, isipokuwa amewahadharisha watu wake na mwenye Jicho moja mrongo. Eleweni kuwa yeye ana jicho moja na hakika Bwana wenu hana Jicho moja kati ya Macho yake pameandikwa neno 'KAFIRI." (Bukhari, Hadithi Na. 245, Juzuu ya 9).
Teyari Waislam wanapata mshtuko baada ya kusoma kuwa, Kumbe Allah ana MHURI kati ya macho yake unao sema yeye ni KAFIRI.
ALLAH ALIUGUA MACHO
"Wakati mmoja macho ya Allah yalikuwa yanauma, na Malaika walikwenda kumuona, na kwamba Allah alitokwa na Machozi, kwa ajili ya Mafuriko ya Nabii Nuhu mpaka macho yake yakawa mekundu. (Al Milal Wannihal J. 1 uk. 141)
Tokea lini Mungu akaugua macho? Kumbe Allah ndie aliye umba magonjwa.
Kumbukumbu na Bukhari katika al-Adab ul-Mufrad (namba 493), kuthibitishwa halisi na al-Albani
"Usitarajie mazuri, kwa sababu Allah ndiye huwapa magonjwa waumini wake kama kafara (kwa ajili ya dhambi yake) ili kumpumzisha, na kwa Makafiri ni kama ugonjwa ni kama Ngamia aliye fungwa na Bwana wake, humuachia huru pale anapotaka, ni hawezi kuelewa ni kwa nini alikuwa amefungwa, wala kwa nini ni huru. "
Kitu cha kushangaza, hawa Waislam wanakwenda Hospitali kupata matibabu huku wakifahamu kuwa Allah ndie aliye watupia Magonjwa. Huu ni Msiba katikaa Uislam.
ALLAH ANA MACHO MANGAPI?
Surat Muuminum 27. Tukampa wahyi: Unda jahazi MBELE YA MACHO YETU na uwongozi wetu! Basi itapo fika amri yetu na ikafurika tanuri, hapo waingize ndani yake wa kila namna dume na jike, na ahali zako, isipo kuwa yule ambaye katika wao juu yake imekwisha tangulia kauli. Wala usinitajie hao walio dhulumu. Kwani hao bila ya shaka watazamishwa.
Mkristo mwenye akili hawezi kumfuata Allah mwenye macho na anaye ugua macho kama viumbe.

No comments:

JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "

 JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba  Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...

TRENDING NOW