Saturday, June 18, 2016

MUHAMMAD ANAAPA KWA YESU NA KUKIRI KUWA YESU ATAHUKUMU KWA UADILIFU

Soma Sahih hadith kutoka Al Bukhar:
Muhammad aseme haya katika (Bukhari hadithi na 425, juzuu 3) hadithi ya Abu Huraira amesema mtume wa Allah s.a.w):
Amesema Naapa kwa ambaye nafsi yangu iko ipo mkononi mwake karibu atateremka kati yenu Mwana wa Mariam atahukumu kwa uadilifu.
Kama Muhammad anaapa kwa Yesu na kukiri kuwa Yesu ndio atakaye hukumu, kwanini nimfuate Allah ambaye sio Yehova?
Kwanini Muhammad hakua-apa kwa Allah?
SASA KAMA KUAPA LAZIMA KUWE KWA MWENYEZI MUNGU, KWANINI MUHAMMAD ALIAPA KWA YESU?
KUMBE YESU NI MWENYEZI MUNGU.
katika Hadithi iliyopokelewe na Abdallah bin `Umar R.A.A. na iliyotolewa na L-Bukhari, “
"إِنَّ اللَّهَ يَنْهَاكُمْ أَنْ تَحْلِفُوا بِآبَائِكُمْ ، فَمَنْ كَانَ حَالِفًا فَلْيَحْلِفْ بِاللَّهِ أو فَلْيَصْمُتْ"
Maana yake, “Hakika Mwenyezi Mungu anakukatazeni kuapa kwa baba zenu, atakaeapa aape kwa Mwenyezi Mungu au anyamaze
SASA MSOME NABII MUHAMAMD ANAPAAPA KWA YESU:
(Bukhari hadithi na 425, juzuu 3) hadithi ya Abu Huraira amesema mtume wa Allah s.a.w):
Amesema naapa kwa ambaye nafsi yangu iko ipo mkononi mwake karibu atateremka kati yenu Mwana wa Mariam atahukumu kwa uadilifu.
KUMBE MUHAMMAD ANAJUA KUWA YESU NI MWENYEZI MUNGU.

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW