Saturday, June 18, 2016

MUHAMMAD ALIKUWA ANAPIGA WAKE ZAKE

Ndugu msomaji,
Muhammad alikuwa na tabia ya kuwapiga wake zake, hususan Aisha na Hafsa.
Nabii wa Alah Muhammad alipiga Aisha kifuani na kumsababishia maumivu makali. Sahih Muslim #2127:
SOMA KISA HIKI HAPA CHINI.
Sahih Muslim #2127:
Ilipokuwa zamu yangu kwa Nabii wa Allah kuwa nami usiku, aliingia na kugeuka, akavua joho lake na viatu vyake, na kuviweka karibu na miguu yake, na akajilaza kwenye kitanda mpaka alipo fikiria kuwa na mimi nimelala.
Basi akachukua joho lake taratiibu na kuvaa viatu vyake, na akafungua mlango na kutoka nje na kuufunga taratibu. Aisha akasema, na mimi nikajifunika kichwa changu, na kuvaa hijabu yangu na kujifunga nguo kiunoni mwangu, na baadae nikatoka nje na kumfuta Nabii wa Allah mpaka alipo fika Baqi.
Alisimama pale kwa muda mrefu. Na baadae akanyanyu mikono yake mara tatu, na baadae kurudi, na mimi vile vile nikarudi nyumbani. Alikuwa anatembea kwa haraka haraka, na mimi vile vile nilitembea kwa haraka haraka. Alikimbia, na mimi nikakimbia vile vile. Akaja nyumbani na mimi vile vile nilikwenda nyumbani, ingawa mimi nilkwenda kwa haraka kabla yake. Nilipo ingia tu na kujilaza kitandani, na Nabii wa Allah akaingia nyumbani, akasema: Hii ni nini, O' Aisha, mbona unahema sana? Nikamwambia, hakuna kitu. Akasema, Niambie au una mambo ya siri hautaki kuniambia.
Nikamwabia, Nabii wa Allah, baba na mama yangu wawe fidia kwako, halafu nikamwambia kila kitu bila kumficha kitu. Muhammad akasema, kumbe nilicho kuwa nakiona kwenye giza mbele yangu ilikuwa ni wewe? Nikamjibu, NDIO. Basi Nabii wa Allah, AKANIPIGA KWA NGUVU SANA KWENYE KIFUA CHANGU, na nilipatwa na maumivu makali sana. HALAFU AKASEMA, unafikiri Allah na Nabii wake wamekuonea?
Bukhari volume 8, #828
Amesema Aisha: Abu Bakr alikuja kwangu na akanipiga ngumi kwa nguvu sana na kusema, umewaweka watu kizuizini kwasababu ya mkufu wako. Lakini nilikuwa nimekaa kimya kama vile nimekufa, .......
Jamani, eti huyu ndie Nabii wa Allah. Hana jema zaidi ya kupiga wake zake, kisa, mke mtu kamfuata Baqi. Je, kama Muhmmad alicho kuwa anafanya ni jambo jema, kwanini aliondoka nyumbani kwake kimya kimya?
Kama kweli Muhammad hakwenda kufanya NDUMBA, kwanini alichukia pale alipo ambiwa kuwa Aisha na yeye alikuwa Baqi?
Hivi, kwanini MUHAMMAD ALIKUWA ANAPIGA WAKE ZAKE?
Hakika huyu hakuwa Nabii wa Mungu bali Allah mpinga Mungu.
Leo tumejifunza tena kuwa, kumbe katika Uislam, wanaruhusikwa kuwapiga wake zao. Huu ni MSIBA.
Max Shimba
For Max Shimba Ministries Org

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW