Thursday, June 2, 2016

MTUME MUHAMMAD AMESEMA KUWA MWILI WA MWANAMKE NI UCHI

Anza kusoma visa mbali mbali vya Allah na Muhammad kwa wanawake.
Kwanini Allah na Muhammad hawapendi wanawake?
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:-
“(MWILI WA) MWANAMKE NI UCHI, AKITOKA (NJE, BASI) SHETANI HUMKALIA MBELE YAKE, NA ANAKUWA KARIBU SANA NA (RADHI ZA) MWENYEZI MUNGU KILA ANAPOKUWA NYUMBANI KWAKE.”
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:-
“MWANAMKE YEYOTE YULE AKIINGIA MSALANI (CHOONI) BILA YA SABABU (MUHIMU) WALA UGONJWA (LAKINI KWA AJILI YA) KUJITAZAMA WEUPE (WA PAMBO) LA USO WAKE, BASI MWENYEZI MUNGU ATAUFANYA USO WAKE KUWA MWEUSI SIKU (YA KIYAMA, AMBAYO SIKU HIYO NYUSO ZA WAISLAM) ZITAKAPOFANYWA KUWA NYEUPE.”
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:-
“AKIMWITA MMOJA WENU MKEWE KITANDANI KWAKE (KUMUINGILIA), BASI AKIKATAA MKE KWENDA (KUTIMIZA HAJA YA MUMEWE), (BASI YULE MKE) ANALAANIWA NA MALAIKA MPAKA ASUBUHI.”
((Allah Amemlaani mwanamke anayefanya tatoo (chanjo za kujichora), na mwenye kuomba kufanyiwa, anaye paka hina, na anayetoa nyusi na mwenye kuomba kutolewa na anayechonga meno kuweka nafasi (mwanya), kubadilisha maumbile ya Allah kwa ajili ya kupata uzuri )) Al-Bukhaariy Imetoka kwa 'Abdullah Ibn Mas'uud (Radhiya Allaahu 'anhu) (BUKHARI ,HADITH NA.408 ,JUZUU YA 6)
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:-
“MWANAMKE YEYOTE YULE KAJIPAKA MAFUTA MAZURI AKAPITA KARIBU NA WATU WAKAPATA (WALE WATU) KUNUSA HARUFU YAKEBASI YEYE MWANAMKE KAZINI.”
Vile vile Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:-
“MWANAMKE AKIJIPAKA MAFUTA MAZURI BASI AKAPITA MAJLIS, BASI YEYE KAZINI.”
Na akasema Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam):-
“MWANAMKE YEYOTE YULE KAJIPAKA MAFUTA MAZURI KWA AJILI YA (KWENDA) MSIKITINI (BASI) HAIKUBALI MWENYEZI MUNGU SALA YAKE MPAKA (KWANZA) AOGE UOGAJI WA JANABA.”
POLENI SANA WANAWAKE WA KIISLAM.
HIVI KUNA JEMA LOLOTE HUKO KWENU?

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW