Friday, May 13, 2016

WAPI USHAHIDI KUWA MUHAMMAD KASILIMU AKAWA MUISLAMU? NA KAMA KASILIMU JE ALISILIMU LINI?


(SEHEMU YA NNE)
Ndugu msomaji,
Tunaendelea na Sehemu ya nne.
Ni wazi ndugu zetu hawana ushahidi wala somo la kutuonyesha uislamu wa Muhammad.
kwani ikiwa Muhammad ni Muislamu tangu kuzaliwa vipi narudia tena, Allah anamtaka asilimu?
Kwani Allah hana habari kuwa Muhammad alikuwa Muislam tokea tumboni mwa mama yake au leo mmemzidi?! Kama nilivyotanguliza kauli mie sio mfasiri wa Qurani ;, wapo mabingwa wa TARJUMI NA FASIRI waliotuzidi na wamefasri Neno Dhaallan kwa maana ya Kupotea. Tazama the Noble Qurani pia kwenye mtandao.
Waislam, msijaribu kupinga au kukataa Quran eti kwasbabau inafundisha kile msicho kitaka au penda au tegemea ua presaposition ; Bila shaka neno dhaallan is used in reference to persons who are not following the true religion and/or who are steeped in idolatry:
136. Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu, na Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha juu ya Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha kabla yake. Na anaye mkataa Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake, na Mitume wake, na Siku ya Akhera, basi huyo amekwisha potelea mbali. (faqad dhalla dhalalan baAAeedan). S. 4:136 Hilali-Khan
77. Alipo uona mwezi unachomoza alisema: Huyu ndiye Mola Mlezi wangu. Ulipotua akasema: Kama Mola Mlezi wangu hakuniongoa, nitakuwa katika kaumu walio potea. (addaallen)." S. 6:77 Hilali-Khan
Hii ina maana Allah alimpata Muhammad steeped in spiritual error and darkness! Kama walivyokuwa majahili wa zama hizi za ujahilia na ndio maana Allah anamwambia wazi usiwe tena miingoni mwa washirikina. Qu62:2, 14:6, kwani ulikuwa hujui kitabu (Taurati, Zabur, Injili), lakini sasa tumekupa Qurani; ulikuwa hujui Imani, ulikuwa Dhaallan,Umepotea Njia.
Narudia kauli yangu tena Allah ndiye kamwambia Muhammad kwa ushahidi was Quran 93:7 ulikuwa umepotea na katika 42:52 kama tulivyoona Allah anazidi kumwambia; Ulikuwa HUJUI KITABU WALA IMANI.
Allah anasema ulikuwa hujui kitabu wala imani!! Wewe unasema alikuwa muislamu tangu kabla ya kuzaliwa !!! Daaa waislamu kweli mabingwa wa kupinga na kugeuza maneno ya Allah pale wanapoona hawakubaliani na aya!!! Ebu tizama kwa aibu jinsi kaka Ibrahimu unavyokataa maneno ya Qurani!!!! labda wewe ungetupa maana yako ya neno Dhaalaan; narudia tena mie sio mfasiri wa Qurani ila Allah kasema akimwambia Muhammad katika Qurani 93:7 .... nanukuu " 7. Na akakukuta umepotea akakuongoa?"http://www.iium.edu.my/deed/quran/swahili/without/93.htm
Jisomee mwenyewe na uone Allah anasema nini kwa Muhammad. Sasa mbona upinge!! Allah anasema silimu wala usiwe miongoni mwa washirikina wewe unasema wala katu hakuwa miongoni mwao?
Sasa nani mkweli nani mwongo:
1. Allah anaye mwambia Muhammad hujui kitabu wala imani
au
2. Wewe unaye sema kuwa Muhammad alikuwa Muislam tnagia tumboni mwa mama yake?
3. Ama kuhusu swala Zima la ibada ya Muhammad; BADO Waislam hamtujibu, HIVI MUHAMAMD ALIPO KUWA PANGONI alikuwa akifanya IBADA kwa msingi wa Kitabu gani au mwongozo hupi?
4. Ama kuhusu jina kumbe kafiri mshirikina anaweza akampa nabii jina?
Lakini pia tu tazame himizo la Muhammad (S.A.W.) kwa Makureshi wenzie kuhusu mungu wakipagani aitwae Allah Zamani kabla ya kuminywa pangoni.
Katika kitabu kiitwacho mkweli mwaminifu kilichotungwa na Sheikh Said Moosa Muhamed al kindy juzuu ya mwanzo na pili chapa ya kumi ukurasa wa 130 tunasoma maneno haya: “katika wakati wa ujaahiliya kabla mtume (S.A.W.) kupata utume alikuwa akiwaambia watu “enyi watu semeni laa ilaha illah laah mtafuzu” yaani hapana mola ila Allah mtafuzu.
Huu ni ushahidi wa wazi kabisa ya kwamba Allah aliabudiwa na Makureshi na Waarabu wenzao hao watu walikuwa washikina , wapagani na majahilia (wajinga).
Kumbuka Muhammad alikuwa ni Mkureshi naye aliposema “hapana mola ila Allah” alikuwa yupo zama za ujahilia na hakuwa anajua kitabu wala imani kama Qurani 42:52 na alikuwa amepotea njia Qu 93:7.
Ama kuhusu Isaya Kuna maswali ya msingi nimehoji wala Waislam hamjatoa majibu. Isaya anasema Chuo hiki Watu umpa , sasa je, Qurani Muhammad kapewa na watu?
NDIO MAANA BADO NAULIZA WAPI USHAHIDI KUWA MUHAMMAD KASILIMU AKAWA
Karibuni kwa Yesu Mungu Mkuu,
Na Mwalimu Chaka
For Max Shimba Ministries Org

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW