Friday, May 27, 2016

WAKATI WA YESU ALIPO KUWA DUNIANI, NANI ALIKUWA MTUME WA UMMAA YA WAARABU?



WAISLAM WANATUMIA HII AYA NA KUDAI KUWA, YESU ALITUMWA KWA WANA WA ISRAEL TU.
Imeandikwa:
Akajibu akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. (Mathayo 15:26).
SASA TUWAULIZENI WAISLAM WOTE DUNIANI AMBAO WANATUMIA HIYO AYA HAPO JUU KAMA IFUATAVYO:
Waislam, kwa kuwa mnasema na kukiri kuwa: Yesu yeye alikuwa Mtume kwa wana wa Israeli tu; Naomba mtueleze kwa uthibitisho wa aya kutoka Quran, wakati huo wa Yesu, nani alikuwa MTUME wa Ummah wa Kiarabu? Kwa lugha rahisi, Mtume wa Waarabu wakati wa Yesu alikuwa ni nani?
Ndugu zetu katika Adam, naomba mtuletee ushahidi wa maandiko wala sio matusi.
Hakika Sisi tumekutuma wewe kwa Haki, kuwa ni mbashiri na mwonyaji. Na hapana umma wowote ila ulipata mwonyaji kati yao." Quran 35:24
Sasa, mnaweza tuambia, WAKATI WA YESU ALIPO KUWA DUNIANI, Nani alikuwa Mtume wa Waarabu?
MKINILETEA AYA BILA YA MATUSI NA JAZBA, LEO HII NITASILIMU NA KUWA MUISLAM?
******
SASA MSOME YESU ANAKUJIBU WEWE MUISLAM:
Bwana Yesu alipoongea na mwanamke Msamaria pale kisimani alimwambia hivi:
Ninyi mnaabudu msichokijua; sisi tunaabudu tukijuacho; kwa kuwa wokovu watoka kwa Wayahudi. (Yohana 2:22).
Wokovu unatoka kwa Wayahudi kwa sababu hakuna taifa jingine lolote duniani ambalo lilimjua Mungu wa kweli – yote yalikuwa na dini za kipagani – iwe ni wazungu, Waafrika, Wahindi, Waarabu, n.k. Huo ndio ukweli.
Kumbe basi wakati wa Yesu, WAARABU WALIKUWA NA DINI ZA KIPAGANI KAMA ALIVYO SEMA YESU HAPO JUU KUWA "Wokovu unatoka kwa Wayahudi.
UTHIBITISHO KUHUSU UISLAMU NI DINI YA WAPAGANI
Haya maelezo yatakupa taswira kamili kuhusu chimbuko la Uislamu na kukupa majibu ya maswali ambayo Mohammad hakutaka wafuasi wake wajue, kama vile, kuwa Uislamu ni ibada za mwezi na nyota ambao ulivumbuliwa kwa minajili ya kueneza ugaidi kupitia vita.
1. Je, Hubal alichukuliwa kama mungu-mwezi? NDIYO.
2. Je, Kabah ilikuwa nyumba ya mungu-mwezi? NDIYO.
3. Je, jina la Allah hatimaye lilichukua nafasi ya lile la Hubal kama jina la mungu-mwezi? NDIYO.
4. Je, waliita Kabah kuwa ‘nyumba ya Allah’ ? NDIYO.
5. Je, wapagani walianzisha matambiko/ibada zilizoambatana na kuabudu miungu yao? NDIYO.
6. Je, wapagani walifanya hijj, Ramadan, kukimbia wakizunguka Kabah mara saba, kubusu jiwe jeusi, kunyoa upara, kutoa kafara za wanyama, kukimbia juu na chini kwenye milima miwili, kupiga shetani na mawe, kupuliza maji kutoka mapuani, kuabudu mara nyingi wakitazama Makka, kutoa misaada, kuswali ijumaa, n.k. NDIYO.
7. Je, mohammad aliamuru wafuasi wake kushiriki kwenye hizi sherehe za kipagani wakati wapagani walikuwa wakitawala Makka? NDIYO. (Yusuf Ali, fn. 214, pg. 78).
8. Je, Uislamu ulichukua na kufanya hizi ibada za kipagani kama sehemu ya ibada zao? NDIYO. (Yusuf Ali: fn. 223 pg. 80).
9. Je, waliitwa ‘mabinti zake Allah’? NDIYO.
10. Je, Kuran kwa wakati mmoja iliwaamuru Waislamu waabudu al-Lat, al-Uzza and Manat? NDIYO. In Surah 53:19-20.

Max Shimba Ministries Org
2016, May 27

No comments:

JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "

 JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba  Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...

TRENDING NOW