Friday, May 13, 2016

WAISLAM MNA ALLAH WANGAPI?

Na Mtumishi Arcangel Mikael:
ULE UTATA UNAOWASUMBUA WATU KILA KUKICHA, JE! HAWA WANAOTUMIA WINGI KATIKA QURAN NI MUNGU AU NI WENGINE???
KARIBU TUONE,,,
QURAN 39:2 " KWA YAKINI, SISI TUMEKUTEREMSHIA KITABU HIKI KWA HAKI, BASI MUABUDU MWENYEZI MUNGU KWA KUMFANYA MOLA YEYE TU"
hapo tunaona, hao wanaotumia WINGI (sisi) WAKISEMA, ndio wameteremsha Quran, na wanamwambia mtume amuabudu mwenyezi Mungu tu!
Hebu tujiulize Je! Hawa Wanaosema hivyo ni kina nani hasa?
Waislam wanasema kuwa hao ni Mungu maana Mungu hutumia WINGI kwa sababu ya Ukuu wake, Ok, hebu tukubaliane na DHANA HIYO HALAFU TUENDELEE KUANGALIA MAANDIKO,
SURAT AD-DAHR :2 " KWA HAKIKA TUMEMUUMBA MTU KUTOKANA NA MBEGU YA UHAI ILIYOCHANGANYIKA,,,,,
3)HAKIKA SISI TUMEMUONGOA (TUMEMBAINISHIA) NJIA,,, ,
kwa mujibu wa aya hizo hapo, utaona hao wanajiwakilisha kama Mungu, maana uwezo wa kuumba ni wa Mungu,
Na sio hizo tu, aya nyingi sana, hao wanaotumia (sisi) huchukua nafasi kama Mungu,,,
HEBU LEO TUMALIZIE UTATA HAPA
SURAT AL MA'ARIJ (70):40-41
40)"BASI NAAPA KWA MOLA WA MASHARIKI ZOTE NA MAGHARIBI ZOTE KWAMBA SISI TUNAWEZA "
41)"KUWABADILI (NA KULETA) WALIOBORA KULIKO WAO, NA SISI HATUSHINDWI (NA KITU)"
katika aya ya 40,hao wanaapa kwa Mola (mkuu) na WANASEMA WANAWEZA KUWABADILI NA KULETA WALIOBORA, HAWASHINDWI KITU (41)
SWALI :
JE! NANI ATAKAYE TUAMBIA, HAWA WALIOAPA KWA MOLA WA MASHARIKI YOTE NA MAGHARIBI YOTE NA KUDAI KUWA HAWASHINDWI KITU NA WANAWEZA KUWABADILI NA KULETA WALIOBORA NI KINA NANI HAWA???????
JE NI MUNGU?? (kama ni Mungu iweje aape kwa Mola wa mashariki yote na magharibi yote????)
JE NI JIBRIL (Ikiwa ni Jibril, yeye anaweza kila kitu Kama Mungu,? maana Mungu ndiye awezaye kila kitu halafu iweje atumie wingi "sisi ')???
JE NI MTUME? (atawezaje kila kitu)?
YESU ANAKUPENDA SANAAAAAAA!!!
Barikiwa sana
Na Arcangel Mikael
For Max Shimba Ministries Org.

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW