Friday, May 13, 2016

NAJIHOFIA NAFSI YANGU KUCHEZEWA NA SHETANI ASEMA MUHAMMAD

Ndugu msomaji,
Muhammad mtume wa waislamu katika kitabu “ Wakeze Mtume Wakubwa na Wanawe kilichoandikwa na Sheikh Abdallah Saleh Farsy Uk. 12, Muhammad anasema:-
“ Najikhofia nafsi yangu kuchezewa na mashetani na kuni haribu akili yangu na kunizuga………………”
Aliyasema maneno hayo baada yakubanwa na kiumbe fulani usiku kule pangoni alikokuwa na baada ya hapo akaanza kujiita mtume. Hoja yetu ni mtume wa nani? Utume kapewa na nani?
Katika Kitabu sira cha cha Ibn Ishaq 132-133 tunasoma
“ Kama huyu shetani (jinni) ambaye amekupagaa wewe ni yule ambaye huwezi kumtoa, tutamtafuta mganga na tutatumia vyote tulivyonavyo kukutibu kwa kuwa mara kwa mara shetani (jinni) humpagaa mtu. Lakini anaweza kuondolewa. Mtume alikuwa akisikiliza kwa makini”
Kisha baadaye na yeye Muhammad katika Sahihi Muslim Juzuu 4 Hadithi na. 2814 kasema
“ Wala hakuna yeyote katika nyinyi isipokuwa amepewa nguvu zinazotokana na majini. Wakasema (maswahaba) hata wewe mtume wa allah? Akasema hata mimi isipokuwa allah hunirahisishia juu yake hunyenyekea wala hayaniamrishi ila yaliyo mazuri”..................Ni jumatatu natafakari tu, Wadau aiku njema
Hivi kuna mtume yeyote yule aliye kiri kuwa amechezewa na Shetani kama Muhammad wa Waislam?
Barikiwa sana,
Max Shimba Ministries Org.

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW