KUMBE ALLAH ANAYE MSHIRIKA
Naomba wenye kufahamu na kutumia akili tuwe macho; tutafakari; jina la Muhammad s.a.w utajwa na pamoja na Allah wakati wa adhaana, Tashahhud, kuingia katika Uislamu, du´aa baada ya wudhuu na kila wakati. Kwa mujibu wa wanachuoni wa Kiislamu haitoshi mtu kushuhudia ya kwamba Allaah ndiye mwenye haki ya kuabudiwa ikiwa mtu hashuhudii ya kwamba Muhammad ni Mtume wa Allaah.
Waislamu wote wanajua kuwa anapaswa kutukuzwa na kuadhimishwa. Qqurani inasema:
لِّتُؤْمِنُوا بِاللَّـهِ وَرَسُولِهِ وَتُعَزِّرُوهُ وَتُوَقِّرُوهُ وَتُسَبِّحُوهُ بُكْرَةً وَأَصِيلًا
"Ili [nyinyi] mumwamini Allaah na Mtume Wake, na mumtukuze na mumheshimu mumtukuze asubuhi na jioni." (48:09)

Mtume (S.a.w) ni bora kuliko Ka´bahna yeye ni bora kuliko kiumbe chochote kile. Mwenye kumtukana Mtume Muhammad anakuwa karitadi anauawa na wala haambiwi kutubia. Hili ni kwa Ijmaa´. Anauawa wala haambiwi kutubia, anakuwa karitadi kutoka katika Dini ya Uislamu.
Moja miongoni mwa misingi mikuu ya Imani ya Dini ya uislamu ni kumpenda Muhammad kuliko unavyoipenda nafsi yako. ndio maana aliwahi kuwaambia watu:
(قل إن كنتم تحبون اللــه فاتبعوني يحببكم اللــه ويغفر لكم ذنوبكم واللـه غفور رحيم) العمران 31
“Sema, ikiwa nyinyi mnampenda Allah basi nifuateni, Allah Atakupendeni na Atakughufirieni madhambi yenu” 3:31.
“Sema, ikiwa nyinyi mnampenda Allah basi nifuateni, Allah Atakupendeni na Atakughufirieni madhambi yenu” 3:31.
Watu wakienda kwenye jihadi yakatekwa mali/ ngawira; basi mali yale ni ya ALLAH na Mtume wake;
يَسْأَلُونَكَ عَنِ الْأَنفَالِ قُلِ الْأَنفَالُ لِلَّهِ وَالرَّسُولِ فَاتَّقُوا اللَّهَ وَأَصْلِحُوا ذَاتَ بَيْنِكُمْ وَأَطِيعُوا اللَّهَ وَرَسُولَهُ إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ ( 1 ) Al-Anfal ( The Spoils of War ) - Ayaa 1
Wanakuuliza juu ya Ngawira. Sema: Ngawira ni ya Allah na Mtume. Basi mcheni Allah na suluhisheni mambo baina yenu, na mt'iini Allah na Mtume wake ikiwa nyinyi ni Waumini.
Wanakuuliza juu ya Ngawira. Sema: Ngawira ni ya Allah na Mtume. Basi mcheni Allah na suluhisheni mambo baina yenu, na mt'iini Allah na Mtume wake ikiwa nyinyi ni Waumini.
pamoja na haya TUNAAMBIWA ALLAH HANA MSHIRIKA?
Poleni sana Waislam manye fuata Allah mwenye mshirika aitwaye Muhammad.
Na Mwalimu Chaka
Vro Max Shimba Ministries Org
No comments:
Post a Comment