Wednesday, May 18, 2016

KUMBE QURAN IMECHAKACHULIWA NA IMEJAA SHAKA

Ndugu msomaji,
Bila ya kupoteza muda taunaanza na aya kutoka Quran inayosema kuwa, Allah alikuwa anafuta aya zake mwentewee. Huu ni MSIBA mkubwa sana.
Quran 2:106
Aya yoyote TUNAYOIFUTA AU KUISAHAULIZA tunaleta iliyo bora kuliko hiyo au iliyo mfano wake. Hujui kuwa Mwenyezi Mungu anao uwezo juu ya kila kitu?
Kwanini Allah alikuwa anafuta aya zake? Je, tutawezaje iamini Quran iliyi futwa futwa?
Mwandishi maarufu wa Kiislamu-Caliph Uthman aliandika Quran na kuchoma aya ambazo hakupendezwa nazo! (Sahih Bukhari 6:61:510)
Hakuchoma tu aya za kuran bali Sura nzima ya kuran ilipotea na kusahaulika. (Sahih Muslim 5:2286)
Vile vile, aya zingine zilifutwa kwa maksudi. (Bukhari 6:61:527).
Mohammad aliwaagiza waislamu kujifunza uislamu kutoka kwa kuran ya Ubai na wala sio ambayo Zayd Ibn Thabit aliandika (ambayo ni ya kisasa) tazama (Bukhari 6:61:521).
Ibn Sad (Kitab al-Tabaqat al-Kabir vol.2 p.444 ) inasema kuwa maandiko ya kuran ya Zayd Ibn Thabit ni tofauti na ya Muhammad. Kwa hivyo waumini wamepotoshwa kwa kukariri kuran hiyo ya kisasa.
Jami At-Tirmidhi 3104 vile vile anasema kuran iliyopo sasa ni feki-ya Zayd Ibn Thabit.
Katika kufanya marekebisho mengi kwenye kuran watu walikuja na nakala tofautitofauti za kuran (Jami at-Tirmidhi 3104) hivyo kulikuwa na mtafaruku miongoni mwa wafuasi wa mohammad kwa sababu zilikuwa tofauti.
Kuran ya Ibn Masood ilikuwa na sura 111, ya Ubay ilikuwa na sura 116 na kuran ya Zayd (ambayo ndio inatumika sasa hivi) ina sura 114. Tazama (Ibn Daud , Kitab al-Masahif).
Hata zile zilizotajwa kuwa feki hazikuhifadhiwa kwa sababu mbuzi alikula sehemu ya aya zake (Sunan Ibn Majah 1934/1944).
Hivyo hamna aliyeandika kuran hadi baadhi ya waliokuwa wanakariri mafunzo ya Mohammad kufa na kulikuwa na hofu kuwa aya zilizosalia zingepotea kabisa (Bukhari z6:61:509).
Hivi ndivyo Zayd Ibn Thabit alipata kuandika kuran ambayo tunayo leo hii kutoka kwa shuhuda za wakariri waliobaki (kurasa chache tu kutokana na miaka 23 ya ufunuo).
MASWALI NYETI YAIBUKA HAPA;
1. Kwanini Allah alikuwa anafuta aya za Quran?
2. Kwanini Caliph Uthman alichoma aya za Quran?
3. Kwanini waislamu wanaficha ukweli kuhusu dini yao?
TAFAKARI HAYO NA UCHUKUWE HATUA!
Max Shimba Ministries Org

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW