Mtu wa Awali, aliyejifundisha kusoma na kuandika katika Mji wa Makka alikuwa Bwana Harb bin Umayya-babu yake Bwana Muawiya. Alijifunza kwa watu wa Yaman, na yeye akaja kuwafundisha waliotaka katika mji wa Makka.
Wakati Mtume alipopata utume walikuwako watu 6 tu katika Makka waliokuwa wakijiua kuandika. Wa 4 katika yao waliingia katika Uislamu, wakawa ndiyo waandikaji "Wahyi" (aya za Qur'an), watu hao walikuwa ni Sayyidna Abubakar. Sayydna Umar, Sayyidna Uthman na Sayyidna Ali.
(Kitabu cha Maisha ya Nabii Muhammad uk. 8,na Sheiky A.Falsy)
(Kitabu cha Maisha ya Nabii Muhammad uk. 8,na Sheiky A.Falsy)
SAYYIDNA ABUBAKAR,
Abubakar, Anasema: "Hakika mimi ninae shetani hunifikia mara kwa mara, basi wakati wowote atakaponifikia muniepuke" (Tabaqatul Kubra, J. 3 Uk. 212)
Abubakar, Anasema: "Hakika mimi ninae shetani hunifikia mara kwa mara, basi wakati wowote atakaponifikia muniepuke" (Tabaqatul Kubra, J. 3 Uk. 212)
SASA KAMA KILIANDIKWA NA MTU ALIYEKUWA NA SHETANI, KWA NINI TUSIKUBALI KUWA NI AYA ZA SHETANI?
No comments:
Post a Comment