Kunena na ndimi
Kutafsiri ndimi
Kipawa cha unabii ( Njia 6 za kuamua unabii )
Neno la Maarifa
Neno la hekima
Kubambanua miroho
Vipawa vya uponyaji
Kipawa cha miujiza
Kipawa cha imani.
Kubatizwa katika Roho Mtakatifu ni mwanzo ya kuhudumu katika vipawa 9 vya Roho Mtakatifu.
Ni : Vipawa 3 vya
- Kunena kwa Lugha
- Kipawa cha unabii
- Kutafsiri ndimi
- Kunena kwa Lugha
- Kipawa cha unabii
- Kutafsiri ndimi
Vipawa 3 Ufunuo,
- Neno la hekima
- Neno la Maarifa
- Kubambanua ndimi
- Neno la hekima
- Neno la Maarifa
- Kubambanua ndimi
Vipawa 3 vya Nguvu,
- Kipawa cha uponyaji
- Kipawa cha miujiza
- Kipawa cha Imani.
- Kipawa cha uponyaji
- Kipawa cha miujiza
- Kipawa cha Imani.
1. Kunena katika ndimi. Matendo ya Mitume 2:
Wakati mtu anaponena kwa lugha, akili na ufahamu hupumzika.
Roho Mtakatifu anatumia kinywa cha mtu tu, sio bongo au akili ya mtu.
Usemi ni ya kiroho
Kuna aina nyingi za kunena kwa lugha. ( Lugha mbali mbali )
Kusudi ya kunena kwa lugha:
1. Ni dhihirisho ya kiroho ya kubatizwa katika Roho Mtakatifu ( Matendo ya Mitume 10:46)
Ili mwanadamu aweze kuwasiliana na Mungu Kiroho. ( 1 Wakorintho 14: 2 )
Ili waumini wamtukuze Mungu. ( Matendo ya Mitume 10:46)
Ili itubariki sisi wenye. ( 1 Wakorintho 14:39)
Ili itubariki katika nyimbo katika Roho. ( Wakolosai 3:16)
Ili roho zetu, mbali na mawaso yetu, iweze kuomba. ( 1 Wakorintho 14:14)
Kwamba pamoja na kutafsiriwa kwa lugha, kanisa iweze kuinuliwa. ( 1 Wakorintho 14:12,13,5,26.)
Ndimi ni kama ishara kwa wale wasio amini. ( 1 Wakorintho 14:22)
2. Kutafsiri ndimi ( Lugha )
Kutafsiri lugha ni katika hali ya kiroho, usemi wa kiajabu.
Inahusika hasa na kunena kwa lugha.
Kuna mashauri machache kuhusu maswali ambayo mara kwa mara inaulizwa:
Kutafsiri ndimi sio sawa na kutafsiri lugha moja hadi lingine. Kutafsiri lugha fulani ni kutafsiri neno kwa neno bali kutafsiri ndimi ni kutoa maana.
Kutafsiri ndimi yaweza kuwa kupitia picha, maelezo ama kinaganaga.
2. Asili, vipawa vya kiasili, na elimu na pia utaifa wa mwenye kutafsiri ita adhiri utafsiri bali kipawa sio kwa ajili hiyo ila kwa miujiza.
Wale ambao hunena kwa ndimi ni bora waombe kwa ajili ya kipawa hiki cha kutafsiri. ( 1 Wakorinto 14:13)
Mtu asitafsiri. ( 1 Wakorinto 14:27)
Kutoa ujumbe kwa lugha mengine na kujitafsiria yaweza kujizoeza.
Andiko yatueleza tusitoe zaidi ya ujumbe tatu katika mkutano moja. ( 1 Wakorinto 14:27 )
3. Unabii.
Kiyunani: profemi=kunena, kutabiri, kubashiri.
Kiyunani:profetes=Mnabii.
Kutoa unabii:Kunena kwa ajili ya mwingine, kuwa msemaji wa Mungu.
Unabii kwa urahisi inatokana na msingi wa kiungu na msemo uliopakwa mafuta.
Kuna tofauti kati ya kipawa cha unabii na huduma ya mnabii.
Mnabii kama afisi hunena kwa miji, mataifa ama dunia nzima. Kipawa cha unabii sana sana hutumika kuhudumia watu na umati.
Kusudi la Unabii.
1. Unabii ni kunenea watu katika hali ya kiroho. ( 1 Wakorinto 14:3)
Kujenga kanisa – mwili wa waumini. ( 1 Wakorinto 14:4)
Kuinua kanisa ( 1 Wakorinto 14:3) Kuinua haimaanishi kukemea.
Kufariji Kanisa ( 1 Wakorintho 14:3,31)
Iliwaumini wafundishike. ( 1 Wakorintho 14:31)
Kushawishi asiyeamini na kudhiirisha siri za moyo wake. ( 1 Wakorintho 14:24,25)
Maswali zaidi kuhusu matumizi na udhabiti.
A: Tunaamuriwa tutamani hasa kipawa hiki. ( 1 Wakorintho 14:1)
B: Unabii ni kuu kuliko ndimi wakati haijaambatanishwa na utafsiri – ikiwa ujumbe utatafsiriwa,basi zatakuwa vya karama sawa.
C: Ingawa unabii ni wasi kwa kuelewa, sio kunena na ufahamu. Ni Roho wa mungu ananena kupitia mwanadamu.
D: Muumini aweza kupata kipawa cha unabii ( ama yeyote ile) katika ujazo/ ubatizo wa Roho Mtakatifu pamoja na kunena kwa lugha ( Matendo ya Mitume 19:6)
E: Unabii haichukui nafasi ya neno lililoandikwa,
F: Neno la Mungu ni msaada ulioimara, Kila unabii ambao unapinga neno la Mungu twaweza kana, kataa bila hofu.
G: Aliye na kipawa hicho anawajibika kwa utumizi, kutotumia jinsi inavyoitajika, Kufinyilia chini au udhabiti.
H: Roho wa unabii hutii mnabii. ( 1 Wakorintho14:32)
I: Paulo pia alisema; ” Wasizidi watatu wenye kutoa unabii katika mkutano moja. (1 Wakorintho 14:29) na wengine waamue.
J: Ujumbe wa unabii wakati mwingine haiwezi kubainika na kueleweka vizuri. (Mafuta unaotiririka Mwambao ya magharibi ya Norwe)
By permission from Vagn Rasmussen Ministries. Anwani:rasmussenvagn@hotmail.com, http://www.bible-teaching.net/…/Manifestations%20of%20the%2…
For Max Shimba Ministries Org
No comments:
Post a Comment