Tofauti Kati ya
Muhammad na Kristo
YESU DHIDI YA MUHAMMADI
UKRISTO DHIDI YA UISLAM
Muhhamad alikuwa nabii wa vita, Kristo ni Mfalme wa Amani. (Issa 9:6-7).
Wafuasi wa Muhammad waliua kwa ajili ya imani, wafuasi wa Kristo waliuawa kwa ajili ya imani (Mdo 12:2, 2TIM.4:7).
Muhammad alieneza mateso dhidi ya “makafiri” Kristo aliwasamehe na kumgeuza mtesaji mkuu (1TIM.1:13-15).
Muhammad alikuwa mwondoaji uzima, Kristo alikuwa mpaji uzima (Yn.10:27-28). Muhammad na wapiganaji wenzake waliua maelfu, Kristo hakuua mtu yeyote bali aliokoa wengi (linganisha Yn.12:48).
Kanuni za Muhammadi zilikuwa KULAZIMISHA. Kristo alilenga KUGEUZA kwa hiari.(Mdo3:19).
Muhammad alitumia nguvu; Kristo alitumia IMANI (Yn.6:29,35)
Muhammad alikuwa MTU WA MAPAMBANO. Kristo alikuwa MKOMBOZI. (Kol. 1:13, 1The.1:10)
Muhammad aliwashinda maadui zake kwa upanga, Kristo aliwashinda maadui zake kwa upanga wa namna nyingine upanga wa Roho ambao ni Neno la Mungu (Ebr.4:12 Mdo 2:37)
Muhammad aliuambia umati “Silimuni ama mfe” Kristo alisema “Aminini na muishi (Yn.6:47, 11:25-26)
Muhammad alikuwa mwepesi kumwaga damu za watu (Rum 3:15-17). Kristo alimwaga damu yake mwenyewe kwa ajili ya wokovu wa wengi. (Efe.1:7)
Muhammad alihubiri “kifo kwa makafiri”, Kristo aliomba “Baba,uwasamehe kwa maana hawajui watendalo” (Lk.23:34)
Muhammad alitangaza vita takatifu (jihad) dhidi ya makafiri, Kristo alipata ushindi mtakatifu juu ya msalaba pale Kalvari. (Kol.2:14-15) na wafuasi wake walishiriki ushindi huo (Yn 16:33)
Muhammad aliwaamrisha watu wake kwa kuwalazimisha, Kristo aliwaamrisha watu wake kwa upendo (2Kor 5:14)
Magaidi wa siku hizi walipata msukumo huo kutoka kwa Muhammad na kutekeleza uovu wao kwa jina la mungu wao Allah, Wakristo walipata msukumo huo kutoka kwa Mmoja aliyesema “Heri wapatanishi…” (Mt.5:9)
Baadhi ya wafuasi wa siku hizi wa Muhammad waliitikia shambulizi la kigaidi kwa shangwe mitaani; wafuasi wa siku hizi wa Kristo walihuzunishwa sana kwa tukio lililopita la kikatili lililofanywa na wale ambao walikuwa “Wakristo” kwa jina tu (vita vya kidini na kihispania kukomesha uasi)
Waislam wengi wana amani na wanapenda amani kwasababu hawafuati kikamilifu mafundisho ya mwanzilishi wao; Wakristo wengi wana amani na wanapenda amani kwasababu wanafuata kikamilifu mafundisho ya mwanzilishi wao (Rum.12:17-21)
Muhammad aliwaita watumishi wake kupigana Yesu alisema, Ufalme wangu sio wa ulimwengu huu; kama ufalme wangu ungekuwa wa ulimwengu huu; watumishi wangu wangenipigania… lakini ufalme wangu sio wa hapa (Yn.18:36)
VIPEPERUSHI JIHAD AU VITA TAKATIFU, UVAMIZI WA KIISLAMU
Hadithi inafichua kwamba Muhammad alipenda dini yake ienezwe kwa Upanga.
UISLAM MPYA, NYUMA YA PAZIA
Uislam ambao Waislam wanaosilimisha hutambulisha katika nchi za Magharibi ni tofauti kabisa na Uislam uliopo Mashariki ya kati.
Kurani inasema “Pigana kwa ajili ya Allah” (Koran 2:244). Biblia inasema “Kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama” na silaha za vita vyetu si za mwili” (Efe.6:12, 2kor.10:4)
Korani inasema “Piga na chinja wapagani popote unapowaona” (Koran 9.5). Kristo alisema “Hubiri injili kwa kila kiumbe” (Mk 16:15)
Koran inasema “Nitatia woga ndani ya mioyo ya wasio amini” (Korani 8:12). Mungu hutia hofu yake (uchaji, heshima, utisho na unyenyekevu) ndani ya moyo wa waaminio (Isa.8:13)
Korani ni kitabu cha mwongozo wa kigaidi ambacho kinaafiki mapigano, migogoro,ugaidi,unyonyaji na mauaji ya halaiki dhidi ya wale wasiokubali Uislam; Biblia ni kitabu cha mwongozo wa wito wa kueneza injili ya amani duniani kote(Rum.10:15)
Kazi ya Muhammad ilikuwa kushinda ulimwengu kwa ajili ya Allah; kazi ya Kristo ilikuwa kushinda nguvu ya dhambi na adhabu kwa kulipia kosa badala yetu (2kor.5:21; 1Pet.3:18)
Muhammad alimtambua Kristo kama nabii mzuri; Kristo alitamka Muhammad kama nabii wa uongo (Yn,10:10;Mt.24:11)
Muhammad alidai kulikuwa lakini Mungu mmoja, Allah; Kristo alidai kuwa alikuwa Mungu (Yn.10:30-31,Yn.8:58-59,Yn:5:18,Yn.14:9)
Kaburi la Muhammad: BADO ANALIMILIKI
Kaburi la Kristo:TUPU.
KATIKA VITA DHIDI YA DINI YA
UWONGO YA KIISLAMU
KAMA UNGEPENDA KUFAHAMU ZAIDI.TAFADHALI OMBA MATOLEO YETU MBALIMBALI JUU YA UISLAM. ZANA ZA NGUVU AMBAZO ZITAKUONGEZEA UFAHAMU WAKO WA UISLAMU NA VILEVILE KUKUSAIDIA KUSHUHUDIA WAISLAMU KIKAMILIFU ZAIDI. SAIDIA KUWAWEKA MATEKA HURU.
NI BURE KAMA UKIOMBA.
VIJITABU
UISLAMU UMWAGAJI DAMU.
Uchambuzi mpana na wa wazi kabisa tena wa uhakika kuhusu umwagaji damu katika Uislamu. Masomo mengi ya muhimu yamejumuishwa. Kurasa 46,
VITA VYA MASHAMBULIZI KUENEZA UISLAMU
Semi za Muhammadi na wasomi wa Kiislamu waliobobea zinashuhudia vurugu na mashambulizi ya Kiislamu. Kurasa 38.
UTUMWA KATIKA UISLAMU
Wasomi wa zamani na wa siku hizi wanakubali ukweli wa utumwa katika Uislamu. Hapa kuna mawazo ya wanazuoni maarufu sana wa Kiislamu. Kurasa 30.
KUWAJIBU WAISLAMU
Makala muhimu zinazokanusha madai ya Waislamu kwamba Biblia imepotoshwa. Vilevile maelezo ya kina na utetezi wa mafundisho ya Utatu. Kurasa 38.
UFALME NA WEWE
Mijadala inayotamkwa mara chache sana kuhusu visa hekaya za jadi zinazopatikana kwenye Korani. Vilevile mafundisho ya kina ya Biblia kuhusu Ufalme wa Mungu. Kurasa 22.
BADO HUJASTAHILI
Kutoka kwenye giza la udanganyifu wa Kiislamu hadi kwenye nuru ya utukufu wa Yesu Kristo. Mwanasheria mkuu wa sheria za Kiislamu Pakistani akutana na Yesu. Ushuhuda wa Lazaro. Kurasa 10.
Kwa maelezo zaidi kuhusu ACMTC TANZANIA, au jinsi utakavyoweza kujihusisha, wasiliana na Meja Frank & Elina Materu: S.L.P. 7579 Dar es Salaam, Tanzania. Barua pepe: materufrank@yahoo.com
No comments:
Post a Comment