Monday, March 24, 2014

ASALIMISHA MANYANGA YA UCHAWI BAADA YA KUTEKWA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA

Ni maajabu makubwa ambayo Mungu anaendelea kufanya kupitia huduma ya Ufufuo na Uzima mkoani Arusha chini ya Mch. Frank Andrew; ambapo wiki hii kumetokea na jambo ambalo liliwaacha katika mshangao watu wengi walioudhuria ibada kanisani hapo.
Tukio hilo la aina yake lilimjumuisha dada aitwaye kwa jina la Lightness ambaye alisalimisha mambo yake ya uchawi ambayo kwa hayo alitesa maisha ya watu wengi. Mikoba hiyo ni pamoja na vyungu, ungo, shanga, pete, makombe na maji ya maiti.
Mapema wiki hii, mchawi mwingine alikamatwa usiku wa saa sita akiwa anawanga hali ya uchi wa mnyama; Mchawi huyo aliyefahamika kwa jina la Saidi alidai kukamatwa na nguvu za Mungu kutokana na watu waliokuwa mkesha usiku wa siku hiyo.
Pichani ni Lightness na manyanga yake baada ya kuchomwa moto yote. Mungu ni mkuu na njia za kutoka mautini zina yeye.
imeandaliwa na Information Ministry

Saturday, March 22, 2014

NANI ALIKUWA MUISLAM WA KWANZA?

UTATA MKUBWA KATIKA KORAN
NANI ALIKUWA MUISLAM WA KWANZA?

Ndugu zanguni:
Leo ningependa tuangalie kiundani kidogo kuhusu, “nani alikuwa Muislam wa Kwanza” kutokana na Koran iliyo teremshwa na Allah.
Kwa mujibu wa vifungu kadhaa katika Quran, Muhammad ni Muislamu kwanza :
Quran 6: 14. Sema: Je, nimchukue rafiki mlinzi asiye kuwa Mwenyezi Mungu, ambaye ndiye Muumba mbingu na ardhi, naye ndiye anaye lisha wala halishwi? Sema: Mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wenye kusilimu. Na wala kabisa usiwe miongoni wa washirikina. 161. Sema: Kwa hakika mimi Mola wangu Mlezi ameniongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka, Dini iliyo sawa kabisa, ambayo ndiyo mila ya Ibrahim aliye kuwa mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina. 162. Sema: Hakika Sala yangu, na ibada zangu, na uhai wangu, na kufa kwangu, ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote. 163. Hana mshirika wake. Na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu. (Wa ' Ana ' Awwalu Al- Muslimin ). S. 6:161-163

Sema (Ewe Muhammad): Hakika Mimi nimeamrishwa nimuabudu Mwenyezi Mungu, kwa kumsafishia Dini Yeye ( tu ). Na nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wale ambao ni Waislamu ( kujisalimisha kwake ). S. 39:11-12 Pickthall
Sura hizo hapo juu na aya hizo ulizo zisoma zinapingana vibaya sana na sura zingine katika Koran hiyo hiyo ambazo ziliteremshwa na Allah huyo huyo na kusema Manabii walio tangulia kabla ya Muhammad ndio walikuwa Waislam wa Kwanza.  
Kuran inadai kwamba Adam, Ibrahim, Nuhu, mababu, makabila kumi na mawili ya Israeli, Musa, Yesu nk, hao wote walikuwa waumini wa Allah na walikuwa Waislam, kumbuka hao wote waliishi kabla ya Muhammad ambaye anadai kuwa yeye ni Muislam wa Kwanza:

S. 02:30 , 34-35 , 37
30. Na pale Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Mimi nitamweka katika ardhi Khalifa (mfwatizi), wakasema: Utaweka humo atakaye fanya uharibifu humo na kumwaga damu, hali sisi tunakutakasa kwa sifa zako na tunakutaja kwa utakatifu wako? Akasema: Hakika Mimi nayajua msiyo yajua. 34. Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam, wakamsujudia wote isipo kuwa Iblis, alikataa na akajivuna na akawa katika makafiri. 35. Na tulisema: Ewe Adam! Kaa wewe na mkeo katika Bustani, na kuleni humo maridhawa popote mpendapo, lakini msiukaribie mti huu tu; mkawa katika wale walio dhulumu. 37. Kisha Adam akapokea maneno kwa Mola wake Mlezi, na Mola wake Mlezi alimkubalia toba yake; hakika Yeye ndiye Mwingi wa kukubali toba na Mwenye kurehemu. S. 02:30 , 34-35 , 37

163. Hakika Sisi tumekuletea wahyi wewe kama tulivyo wapelekea wahyi Nuhu na Manabii walio kuwa baada yake. Na tulimpelekea wahyi Ibrahim na Ismail na Is-haka na Yaakub na wajukuu zake, na Isa na Ayub na Yunus na Harun na Suleiman, na Daud tukampa Zaburi. S. 4:163

84. Na tukamtunukia (Ibrahim) Is-haq na Yaakub. Kila mmoja wao tulimwongoa. Na Nuhu tulimwongoa kabla. Na katika kizazi chake tulimwongoa Daud na Suleiman na Ayyub na Yusuf na Musa na Harun. Na hivi ndivyo tunavyo walipa wafanyao wema: S. 6:84

127. Na kumbukeni Ibrahim na Ismail walipo inyanyua misingi ya ile Nyumba wakaomba: Ewe Mola Mlezi wetu! Tutakabalie! Hakika Wewe ndiye Msikizi Mjuzi.  128. Ewe Mola Mlezi wetu! Tujaalie tuwe ni wenye kusilimu kwako, na pia miongoni mwa vizazi vyetu wawe umma ulio silimu kwako. Na utuonyeshe njia za ibada yetu na utusamehe. Bila shaka Wewe ndiye Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.  129. Ewe Mola Mlezi wetu! Waletee Mtume anaye tokana na wao, awasomee Aya zako, na awafundishe Kitabu na hikima na awatakase. Hakika Wewe ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima. 130. Na nani atajitenga na mila ya Ibrahim isipo kuwa anayeitia nafsi yake katika upumbavu? Na kwa yakini Sisi tulimteuwa yeye katika dunia; na hakika yeye katika Akhera atakuwa miongoni mwa watu wema 131. Na Mola wake Mlezi alipo mwambia: Silimu, Nyenyekea! Alinena: Nimesilimu, nimenyenyekea kwa Mola wa walimwengu wote.  132. Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.  133. Je! Mlikuwapo yalipo mfikia Yaaqub mauti, akawaambia wanawe: Mtamuabudu nani baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is- hak, Mungu Mmoja tu, na sisi tunasilimu kwake. S. 2:127-133 Shakir

JEHANAMU IPO NA INASUBIRI WATENDA DHAMBI

Huko motoni Jehanum kukoje? Mwanangu, kunatisha, nashindwa hata nikueleze vipi unielewe. Moto wa milele, hatukuwekewa wanadamu bali shetani na malaika zake (MATHAYO 25:41). Kama utakwenda huko baada ya kusoma “note” hii, itakuwa ni kwa sababu ya kiburi chako tu, na kushupaza shingo yako na kukataa kulitendea kazi Neno hili (MITHALI 29:1). Moto wa Jehanum siyo mahali pa mchezo kama walimu wa uongo wanavyofundisha. Walimu hawa huwafariji watu na kusema eti mtu ataunguzwa na moto na kutoweshwa na kupotea na kuangamizwa kabisa na ndiyo mwisho wake. Wanatumia maandiko kama MATHAYO 10:28 (kuangamizwa) na YOHANA 3:16 (Kupotea). Kuangamia katika maandiko hakumaanishi kumalizika kabisa, bali kukabiliwa na mauti (ESTA 4:16). Mauti ya watu walioko motoni, ni mauti ya milele, kama tutakavyoona hivi punde. Kondoo akipotea, haimaanishi hayupo kabisa ila ametengwa na mchungaji (ISAYA 57:1-3).
Biblia inaeleza waziwazi kwamba mtu anapokufa, sekunde ileile ya kufa kwake anakabiliwa na hukumu. Tunasoma katika WAEBRANIA 9:27, ”Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu”. Watu wanapofundisha kinyume na kweli ya Neno la Mungu, hufundisha kwamba mtu anapokufa analala tu, na hakuna lolote la hukumu mara moja wakitumia maandiko yafuatayo na kuyatafsiri visivyo – MATHAYO 27:52; 1 WAKORINTHO 15:20; YOHANA 11:11-14 n.k; na pia wanasema wafu hawajui lolote kwa kutumia maandiko kama MHUBIRI 9:5. Ilivyo ni kwamba, kinachobaki kaburini ni mwili tu. Roho ya mtu huondoka na kuingia katika mwili mwingine, unaoitwa mwili wa roho. Miili tuliyo nayo wanadamu kabla ya kufa inaitwa miili ya asili. Tunasoma katika 1 WAKORINTHO 15:40, 44, “Tena kuna miili ya mbinguni, na miili ya duniani,……Ikiwa uko mwili wa asili, na wa roho pia uko”.
"Na miale ya moto huwaadhibu wale wanaomkataa Mungu na wale wasiotii Habari njema ya Bwana ya Yesu. Adhabu yao itakuwa kuangamizwa milele na kutengwa mbali na utukufu wake mkuu" - (2 Wathesalonike 1:8,9).

Moto wa Jehanum ni mkali sana kuliko moto wowote tunaoufahamu duniani. Moto wa gesi wa kuunganishia vyuma, unaotokana na kuwashwa mchanganyiko wa gesi ya “Oxygen”, na “Acetylene”, unaonekana kwa hapa duniani kwamba ni mkali. Moto huu, siyo chochote, ukilinganishwa na moto wa Jehanum. Katika karakana au viwanda vya vifaa vya vyuma, chuma huyeyushwa na kuwa uji katika matanuru ya moto mkali unaofikia nyuzi joto 2,000 hadi 3,000 na zaidi. Moto huu unaoyeyusha vyuma na ukali wake, huo si chochote! (Kumbuka kwamba maji yaliyochemka sana hufikia nyuzi joto 100 tu!) Moto ulio katikati ya jua linalotuangaza, unafikia nyuzi joto milioni kumi (10,000,000°C). Moto wa jua nao, si chochote ukilinganishwa na moto wa Jehanum! Ukali wa moto wa Jehanum, unatisha (WAEBRANIA 10:26-27). Siyo hilo tu, moto wa duniani una rangi mbalimbali, njano,bluu,mwekundu n.k. Moto wa Jehanum ni tofauti kabisa; Ni moto wa rangi nyeusi, unaosababisha giza na kumfanya mtu aliye motoni, awaone wenzake wachache tu wa karibu naye, hivyo hamna faraja ya kusema “tuko wengi!” Moto huu mweusi, ndiyo maana unaitwa “giza la nje” (MATHAYO 8:11-12, MATHAYO 22:13; MATHAYO 25:30; YUDA 1:6). Siyo hilo tu. Moto huu wa Jehanum, una meno! Hivyo una uwezo wa kuwala na kuwatafuna walioko motoni (KUMBUKUMBU 32: 22; WAEBRANIA 10: 26-27). Hata hivyo, pamoja na moto huu kumtafuna mtu, bado una sifa ya kumhifadhi mtu huyo na kumfanya asimalizike, kama jinsi chumvi ilivyo na uwezo wa kuizua nyama kuharibika. Hivyo moto unamtafuna mtu wakati wote, lakini haishi na wala moto wenyewe hauzimiki. Ndiyo maana unaitwa moto wa milele (MARKO 9: 43-49; MATHAYO 25:41).

Watu walioko motoni, hutamani mtu mmoja kati yao atoke motoni aje duniani, awashuhudie ndugu zao, ili waache dhambi, na kukwepa mateso yao, lakini huambiwa kwamba ndugu zao wanapaswa kuyasikia maneno ya manabii walioko duniani, maana hata akitumwa mtu kutoka motoni na kueleza mateso ya huko, watasema ni mwongo, hajaenda motoni. Tunasoma haya katika LUKA 16:27-31, ”Akasema, Basi, baba, nakuomba, umtume nyumbani kwa baba yangu, kwa kuwa ninao ndugu watano, ili awashuhudie,wasije wao pia wakafika mahali hapa pa mateso. Ibrahimu akasema, wanao Musa na manabii, wawasikilize wao. Akasema, La, baba Ibrahimu, lakini kama akiwaendea mtu atokaye kwa wafu, watatubu. Akamwambia, Wasipowasikia Musa na manabii, hawatashawishwa (hawatashawishika) hata mtu akifufuka katika wafu”.

Mpendwa msomaji, ikiwa mama yako mzazi alifariki akiwa hajaokoka, ujue yuko motoni, na anakuambia, “Usinifuate huku mwanangu”. Ikiwa baba yako mzazi alifariki akiwa dhambini, anateseka motoni, na hataki umfuate huko aliko! Ndugu, marafiki na jamaa zako walioko huko wanakukumbuka sana, na hawapendi ujiunge nao huko, bali wanataka utubu na kuokoka mateso hayo ya moto. Walioko huko motoni, wakimwona yeyote mwingine kutoka duniani, ambaye alikuwa na nafasi ya kusikia habari kama hizi na akazipuuza, kisha akawafuata huko motoni, humwambia, “Je wewe nawe umekuwa dhaifu kama sisi! Wewe nawe umekuwa kama sisi! ” (ISAYA 14: 10).

Friday, March 21, 2014

Jesus is:.

OMNIPOTENCE1) MATTHEW 11:27 (KJV) All things are delivered unto me of my Father: . . . {cf. Jn 16:15, 17:10}
2) MATTHEW 28:18 . . . All power is given unto me in heaven and in earth.
3) REVELATION 3:7 . . . These things saith he that is holy, . . ., he that hath the key of David, he that openeth, and no man shutteth; and shutteth, and no man openeth;

OMNISCIENCEJesus often says things that show He has extraordinary knowledge, and that are consistent with His being omniscient, which we know He was in His Divine Nature, being God. The following Scriptures about Jesus strongly suggest it:
1) JOHN 16:30 Now are we sure that thou knowest all things, and needest not that any man should ask thee: by this we believe that thou camest forth from God.
2) JOHN 18:4 Jesus therefore, knowing all things that should come upon him, . . .
3) JOHN 21:17 . . . Lord, thou knowest all things; thou knowest that I love thee . . .
4) COLOSSIANS 2:3 In whom are hid all the treasures of wisdom and knowledge.


OMNIPRESENCE1) MATTHEW 18:20 For where two or three are gathered together in my name, there am I in the midst of them.
2) MATTHEW 28:20 Teaching them to observe all things whatsoever I have commanded you: and, lo, I am with you alway, {even} unto the end of the world. Amen.
Plus statements about this:
1) EPHESIANS 1:23 Which is his body, the fulness of him that filleth all in all.
2) COLOSSIANS 3:11 . . . Christ {is} all, and in all.

MCHAWI ANASWA KANISANI HUKO ARUSHA TAZAMA PICHA MBALI MBALI HAPA


Shabani akiwa na vitenda kazi vyake akiwa eneo la kanisa
.Angalia picha za mtu aliyejitambulisha kwa jina la Shabani Hamisi alikuwa akijihusisha na vitendo vya kishirikina, akiwa chini ya wanamaombi wa kanisa la Ufufuo na Uzima Arusha mara baada ya mtu huyo kukamatwa usiku wa kuamkia leo wakati wa maombi kanisani hapo ambapo ametoa maelezo mbalimbali namna alivyokuwa akishiriki katika vitendo hivyo vya kishirikina.

Akiwa amevua shati huku akiwa anaombewa.
Vitenda kazi vyake vikiwa vimemwagwa chini.

Is Jesus All-powerful and Eternal?

Jesus being the Son of God implies that He is equal with God the Father. The Apostle John stated that Jesus “said that God was His Father, making Himself equal with God” (John 5:18). Jesus said, “I and My Father are one” (John 10:30). Fully understanding this truth would be impossible with our finite minds, but God’s Word reveals a great deal about this topic.

For instance, the Bible states that the Father is the Creator (Ephesians 3:9), and it also declares God’s powerful and eternal attributes (Revelation 11:17; Psalm 90:2). Then in Colossians 1:15–16, Paul writes about Jesus being the image of God, and hence, the Creator. Now, in verse 17, Paul continues to describe Jesus and His power.

Since Jesus is the Creator, He “is before all things, and in Him all things consist.” As Paul wrote in Colossians 1:16, Jesus created all things—the invisible and visible things. Therefore, Jesus is before all things in existence, and in His power He upholds all things. In other words, Jesus is eternal and all-powerful. These attributes of Jesus are continually declared and magnified in passages such as the following:

. . . who being the brightness of His glory and the express image of His person, and upholding all things by the word of His power, when He had by Himself purged our sins, sat down at the right hand of the Majesty on high. (Hebrews 1:3)

“I am the Alpha and the Omega, the Beginning and the End,” says the Lord, “who is and who was and who is to come, the Almighty.” (Revelation 1:8)

These passages of Scripture give us a taste of how the Son is equal with the Father. Even death could not stop the almighty Lord who is also “the resurrection and the life” (John 11:25). As we read Scripture, we must keep in mind Jesus’ unending, powerful attributes.

As the Creator, Jesus also knows all things. For example, Jesus even knew the thoughts of the scribes (Matthew 9:4) and the whereabouts of Nathanael prior to meeting him (John 1:48).

Through Jesus Christ, believers have salvation, and when we get to heaven, we can look forward to learning more from an all-knowing, all-powerful, and eternal God!

Mtume. Rashid Abubakar alionya kanisa juu ya kukimbilia Nigeria.


Mtume. Peter Rashid Abubakar
Mtume Peter Rashid Abubakar ambaye ndiye mwanzilishi wa huduma ya Glory to God Miracle Center(House of Prayer For All Nations) Tanzania jijini Dar es Salaam amelionya kanisa  akiliambia umetokea ujinga wa kutumiana masage zikisema meseji hii tumia watu 12 au 20 imetoka kwa Tb. Joshua!!!??? 
Alihoji Tb. Joshua yeye ni nani!!? Mbona ni mtumishi wa MUNGU kama mimi tu! 
Akiongea huku akinukuliwa na Maisha ya ushindi blog alisema
 watu wengi kanisani hapa kwangu wanafunguliwa wasio na watoto; Kazi; etc wanapata kwa jina la YESU. 
Alisema nimeombea wangapi waliokwenda kwake Tb. Joshua ambao hawakuponywa au kufunguliwa na niliwaombea na YESU KRISTO akawaponya. 
 Aliuliza je YESU wa Tb. Joshua na mimi ni tofauti? YESU KRISTO mwenyewe kwa kauli yake anasema  YEYE HABADILIKI. YEYENI  JANA NA LEO NA HATA MILELE. 
Alisema huo ni USHAMBA WA KIROHO AU NI UKIRO WA KIROHO(UKIRO=U-Ukosefu wa K-Kinga wa R- Roho) ni sawa na UKIMWI= Ukosefu wa kinga za mwilini). 
Alisema Yeremia 17:5-6. Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu na kumfanya kinga moyoni mwake
Kwa imani yenu hiyo alisema Mbona wenye karama ya uponyaji na matendo ya miujiza mbona nipo mimi hapa? Na wengine wengi tu Dar es salaam au Tanzania.
 Hizo pesa nyingi za nauli mnazopoteza kwenda Nigeria na kurudi huko si mniletee mimi nizijengee kanisa? Au pelekeeni wazazi wenu wanaokufa na njaa zikawasaidie? 
Wengine hata uwanja wa kujenga hamna? Alimalizia kwa kusema POLENI WATANZANIA WENYE IMANI HIYO KATIKA JINA LA YESUUU!!! 

KAMA NI TB. JOSHUA NIPO HAPA MBEZI MWISHO JIJINI DAR ES SALAAM NAULI MIA TANO KWENDA NA KURUDI ELFUUU. EMEEEEEEEE!!! Kanisa lote liliitikia Emeeeeeeee!

Friday, March 7, 2014

JE, ALLAH NI MNYONYA DAMU?

Ungana nami katika somo letu la leo na uone siri kubwa ambayo Allah ameifanya na kuificha kwa karne kadhaa.

Ndugu zanguni.

Leo ningependa tusome kuhusu Dhabihu ya Damu ambayo Waislam huwa wanaifanya kwa ungu
wao kwa kutumia mtego wa Halal wakati wakichinja Wanyama. Uchinjaji wa "Halal" ni ibada ambayo wanaifanya kila wachinjapo Mnyamahuku wakimwomba mungu wao ajulikanaye kwa jina la Allah. Soma Alameye Tabataba i, p 177.

Allah anapenda kunywa damu za Watu na Wanyama.
Soma "Blood of Allah Chapter 5". Ndio maana Allah anadai kuwa uchinjaji wa Wanyama ni kwa Waislam pekee, kumbe Allah anataka damu ya Mnyama ifanyiwe dhabihu ili aweze kuinywa.

Zaidi ya hapo, Waislam ndio wenye tabia na utamaduni wa kuchinja watu kwa madai kuwa eti, umeikashif dini ya Allah na Mtume wake, kumbe huu ni mtego ule ule wa Allah wa kutaka kunywa damu za Watu na Wanyama; soma Shaykh al Kulayni, al-kafi v1 p 149.

Mkristo unapo nunua nyama kutoka maduka ya Kiislam ambayo ni halal, basi elewa kuwa
unanunua nyama ambayo imefanyiwa ibada kwa Allah wao ambaye alikunywa damu yake
baada ya kuchinja huyo mnyama. 

Allah ni mnyonya damu
Soma Al Bahrani, Al Buhran Fi Tafsir- Al Quran v 3, p 528. Unaweza niuliza kivipi Allah ananyonya damu? Mtego ambao Allah anautumia mara nyingi ni ule wa Jihad kwa Waislam wote. Allah anasema kuwa, unapo jiua kwa sababu ya Allah "Mataya" basi wewe unakwenda moja kwa moja AKhera, lakini kinacho tokea hapo ni Allah anapata damu ya Binadamu na Nyama yake kama kitoweo.

Hadith ya Msema Kweli Bhukar V4, Kitabu 52, Namba 41 inasema kuwa jambo jema ambalo Muislam anawea kulifanya ni kupigana mpaka kufa kwa ajili ya Allah. Hii ndio mbinu ambayo Allah anaitumia kupata damu na nyama za watu.  Ukienda kwenye Nchi za Mashariki ya Kati, hii tabia ya Kujilipua na kufa huku wakisema Allahu Akbar ni mbinu ya kumfanyia dhabihu ya damu kwa Allah ambaye maisha yake yanatemea damu za Watu na wanyama.

Ndugu zanguni, leo tumeoa jinsi Allah anavyo tega watu kwa kuwaambia wapigane mpaka kufa kwa Ajili ya Allah. Kumbe Allah anatafuta damu za watu ili anywe.

Nafahamu Waislam wengi watapinga huu ukweli, lakini wenye macho na masikio wanaona na
kusikia jinsi Waislam wanavyo jitoa mhanga na kufa kwa ajili ya Allah.

Hakika hawa wamepotea na kufanya mauaji ya miili yao. Kujiua kwa ajili ya Allah ni kufanya Mauaji ya mwili wako. Hilo ni kosa na dhambi mbele ya Mungu. Biblia inasema katika Amri moja ya zile kumi za Mungu, kuwa Usi Uwe. Sasa Ndugu zetu wao wanauwa miili yao kwa Allah. Hiyo ni dhambi ya kwenda Jehannam.

Allah si Mungu na hana sifa za Mungu.

Katika huduma yake


Max Shimba Ministries

Saturday, March 1, 2014

MAOMBI YA KUSAMBARATISHA UCHAWI NA NGUVU ZA GIZA


Baba katika Jina la Yesu. 

Laana zote nilizo tupiwa na wabaya wangu zimeshindwa kwa jina la Yesu na nazivunja na kuzisambaratisha kwa Damu ya Yesu. Mshindwe wote mnao tuma laana kwangu katika Jina la La Yesu. 

Nawavunja na kuwaharibu na kuwakatakata Wachawi wote kwa damu ya Yesu. 

Nasambaratisha kila neno la uovu lililosemwa juu yangu na famila yangu katika jina la Yesu.

Naharibu na kuisambaratisha madhabahu yenu mliyo fanyia kafara kwa damu ya Yesu. 

Navunjavunja na kubomoa kila uovu na uchawi mnaonifanyia katika jina la Yesu.

Nairudisha misukule yote na majini yote yawarudie nyie na kuwalipa dhambi zote mnazo fanya katika jina la Yesu. 

Naharibu kila uchawi, kila urogi, kila ndumba kila aina ya uovu ambao mnaufanya ili uniumize mimi na familia yangu katika jina la Yesu. 

Nawateketeza kupitia damu ya Yesu Wachawi wote walio tumiwa kunitumia uchawi katika jina la Yesu.

Nawateketeza na kuwaharibu majini yote yaliyo tumwa kuja kufanya kazi hiyo waliyo tumwa na Wachawi katika jina la Yesu.

Nawateketeza na kuwauwa Makuhani wote ambao walienda kunishitaki kwa Wachawi ili waniharibie maisha, nawateketeza kupitia damu ya Yesu. Nawachoma kwa Moto wa Roho Mtakatifu katika Jina la Yesu.

Nateketeza aina zote za vyombo vya kichawi vilivyo tumiwa kuja kunichunguza katika jina la Yesu.

Naharibu fikra zao zote ambazo wanazitumia kufanya kazi zao za kichawi katika jina la Yesu.

Nafuta kumbukumbu zoote zangu ambazo wamewapa Mashetani, Majini, Roho chafu, nafuta hizo kumbukumbu kwa kutumia damu ya Yesu, katika jina la Yesu aliye hai.

Nawateketeza waweka kumbukumbu wa kimashetani kupitia damu ya Yesu aliye hai. Naharaibu na kuchoma kupitia moto wa Roho Mtakatifu makabrasha yote yenye kumbukumbu zangu katika jina la Yesu.

Kila uchawi ulio fanywa ili uje kuharibu maisha yangu na ubomoa kupitia damu ya Yesu. 

Kila uchawi ulio fanywa ili uje kuniua nauvunja na kuuteketeza kupitia damu ya Yesu.

Kila uchawi ulio fanywa ili kuja kuiba mali zangu, nauvunja na kuubomoa na kuuharibu kupitia damu ya Yesu.

Kila uchawi ulio fanya kuja kuniharibia familia yangu, nausambaratisha na kuuvunja na kuubomoa katika jina la Yesu.

Kila neno la kichawi lililo tumwa ili kuja kuniharibia, kunidhihaki, kunitendea mabaya nalirudisha kwa aliye lituma katika jina la Yesu.

Kila uovu, uchawi, wanga, ndumba, ramli, yaliyo tumwa kuja kwangu navunja yote hayo kupitia damu ya Yesu na katika Jina la Yesu.

Nyota yangu ambayo wanaita nairudisha kupitia damu ya Yesu. Nyota yangu ya baraka nailinda na kuzungushia na kuizingira na damu ya Mwana Kondoo katika jina la Yesu.

Namteketeza yule mtu aliye kuja kuiba nyota yangu katika jina la Yesu.

Nateketeza mbinu zote wanazo tumia ili kuja kuiba nyota yangu katika jina la Yesu.

Nateketeza wivu wao, chuki yao, laana zao, maovu yao na kila aina ya uchafu ambao wanao kwa ajili yangu katika jina la Yesu.

Naizungushia na kuizingira nyumba yangu na damu ya Yesu.

Naishungushia na kuizingira familia yangu na damu ya Yesu.

Nashungushia na kuzingira maisha yangu yote na damu ya Yesu.

Navunja laana zote zilizo semwa na mabau zangu katika jina la Yesu.

Navunja laana zato ambazo zilisemwa bila ya mimi kufahamu, nazivunja na kuziharibu kupitia damu ya Yesu na katika jina la Yesu.

Narudisha kila mali walizo ziiba kutoka kwangu katika jina la Yesu.

Narudisha kila baraka walizo ziiba kwangu katika jina la Yesu.

Narudisha amani na upendo katika familia yangu.

Damu ya Yesu ipo juu ya Maisha yangu na inasafisha kila uovu, kila uchawi unaaribiwa na damu ya Yesu katika jina la Yesu. 

Leo hii mtaiona Nguvu iliyopo katika damu ya Yesu. 

Katika Jina la Yesu aliye hai ninaomba. 

Amen

Max Shimba Ministries 
03/01/2014

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW