Ndugu
zanguni.
Biblia
inasema kuwa, mtawafahamu kwa matunda yao, hayo yalikuwa maneno kutoka Injili
ya [Mathayo 7:16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika
miiba, au tini katika mibaruti? 17 Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda
mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya].
Mtume Muhammad
alishindwa kuonyesha uadilifu katika kazi yake. Kazi aliyo dai katumwa na
Mungu, ilijaa maswali mengi ambayo yaliwafanya watu wamuite yeye, Muhammad,
“Mwendawazimu”. Kitendo cha Mtume kuoa Mtoto wa miaka 6, kulileta kizungumkuti,
kwasabau kitendo hicho si cha kibinadamu na hakikufanywa na Mitume walio kuja
kabla yake. Hapa chini ni aya kutoka Koran iliyo teremshwa na mungu wa Islam
kupitia msaada wa Gibril.
Quran
15: 6. Na walisema: Ewe uliyeteremshiwa Ukumbusho! Hakika wewe ni mwendawazimu.
Muhammad
anaitwa mwendawazimu mbele ya kadamnasi. Hayo madai ya uwendawazimu
hayakukataliwa na mtume wa Allah. Alicho fanya Muhammad ni kukaa kimya, jambo
ambalo ni jibu tosha kuwa alikubali kuwa yeye ni Mwendawazimu. Uhakikisho wa
uwendawazimu wake upo kimaandishi.
Hebu
tusome Simulizi zake kidogo: "Kitab al-Tabaqat al-Kabir", (Kitabu cha Madarasa Meja), na
Ibn Sad, kutafsiriwa na S. Moinal Haq, [4], ukurasa wa 225; Muhammad akisema:
O Khadija, Ninaona Mwanga, na nasikia Masautisauti, nina hofu kuwa mimi nina Wazimu.
O Khadija, Ninaona Mwanga, na nasikia Masautisauti, nina hofu kuwa mimi nina Wazimu.
Kwenye hiyo simulizi yake, hapo juu, Mtume wa Allah anakiri
kuwa yeye ni mwendawazimu. Kukiri huko, kunatuletea maswali mengi, ambayo
nategemea mengi ya maswali hayo, yatakosa majibu. Lakini ni vyema tujiulize
maswali. Kwanini Allah aliteremsha aya inayo muita Mtume wake Mwendawazimu? Kwanini
Muhammad hakukataa kuitwa Mwendawazimu? Utume wa huyu Muhammad umejaa shaka,
pale alipo kubali kuwa yeye ni mwendawazimu. Rejea kwenye simulizi yake hapo
juu. Nita nukuu sehemu fupi ya kukubali kwake “O Khadija, …….nina
hofu kuwa mimi nina Wazimu”.
Hatujawai
soma kwenye vitabu vingine vitakatifu kuwa Mitume wa Mungu wa Biblia walikubali
kuwa wao ni Wendawazimu, lakini leo hii tumejifunza kuwa Muhammad mtume Allah,
anakubali kuwa yeye ni Mwendawazimu.
Hivi,
kwanini tufuate mtume aliye kubali kuwa yeye ni Mwendawazimu? Hilo ni swali la
msingi. Allah anasema kuwa watu wa Kitabu ambao ni Wayahudi na Wakristo ndio
wenye elimu na muwaulize wao, mtakapo kuwa na maswali.
Allah
amesha jibu. Wakristo ndio wenye majibu katika hii duni.
MUHAM-MAD ANASEMA:
"Nina hofu kuwa mimi nina Wazimu"
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
No comments:
Post a Comment