Mkutano ulioanza jana chini ya kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na mchungaji Josephat Gwajima umevunja rekodi ya mahudhurio katika mkoa wa Tanga baada ya maelfu ya watu kukusanyika katika uwanja wa Tangamano kunakofanyika mkutano huo na kusababisha uwanja huo kuonekana mdogo. Kati ya vitu vilivyovutia macho ya wengi ni mahudhurio ya watu kutoka dini tofauti waliofika katika mkutano huo.
Angalia baadhi ya picha mambo yalivyokuwa hapo jana.
Angalia baadhi ya picha mambo yalivyokuwa hapo jana.
Mchungaji Gwajima akiongea na dada aliyewahi kuwekwa msukule zamani akishuhudia maelfu ya watu wa Tanga. |
Mambo ya siku ya kwanza kwenye mkutano jijini Tanga. | GK |
No comments:
Post a Comment