JE, NANI KAUMBA KIUME NA KIKE?
QURAN 92 1-3
QURAN 92 1-3
1.
Naapa kwa usiku ufunikapo, 2 kwa mchana uingiapo, 3. na kwa aliye umba kiume na
kike..
Hivi
mtu anaye apa kwa mwengine anakuwa Mungu au binadamu? Je, nani kaumba hapo.
Maana Allah anaapa katika aliye umba, na kuumba ni sifa ya Mungu. Kumbe Allah
hakuumba.
Je,
ni nani huyu aliye umba Kiume na Kike ambaye Allah wa Islam anaapa kwake?
Endelea kusoma...kutoka Biblia Takatifu….
Yeremia 27: 5 Mimi nimeiumba dunia hii,
wanadamu na wanyama walio juu ya uso wa nchi, kwa uweza wangu mkuu, na kwa
mkono wangu ulionyoshwa; nami nawapa watu kama inipendezavyo.
Sasa
tunamsoma Yehovah ambaye ni Mungu wa Biblia kuwa yeye ndie aliye umba kila
kitu, pamoja na Kiume na Kike ambacho Allah wa Islam anaapa kwake. Kwahiyo,
Jehovah aliumba kiume na kike, na Allah wa Islam anaapa kwake, sasa jaza
mwenyewe nani ni Mungu?
Je,
Mungu anaweza kuapa kwa Mwengine? Endelea kupata elimu …
Waebrania
6:13 Mungu alipompa Abrahamu ahadi, aliapa kwa jina lake mwenyewe, maana hakuna
aliye mkuu kuliko Mungu ambaye kwa huyo angeweza kuapa.
Jehova
anasema hakuna Mkubwa wangu wa kuapa kwake, lakini Allah katika Kuran anasema
kuwa yeye anaapa kwa aliye umba kiume na kike.
Hivyo
basi leo tunafahamu kuwa aliye umba ni Jehona na Allah anaapa kwa Jehovah Mungu
wa Biblia na Wakristo.
Mungu
awabairiki sana
Max
Shimba
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
No comments:
Post a Comment