Dhabi ni nini? Ni vunja sheria za Mungu. Imeandikwa, 1Yohana 3:4 "kila atendaye dhambi afanya uasi." 1Yohana 5:17 yasema Kila lisilo la haki ni dhambi na dhambi iko isiyo ya mauti."
Je amri za Mungu ni ipi? Aliiandika na kwa vidole zake kwenye mawe. Imeandikwa, Kutoka 20:2-17 "[1]Mimi ni Bwana Mungu wako aliye kutoa katika inshi ya misiri, katika nchi ya utumwa. Usiwe na miungu mingine ila mimi.[2]Usijifanyie sanamu ya kuchonga wala mfano wa itu cho chote kicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho shini majini chini ya dunia usivisujudie wala kuvitumikia kwa kuwa mimi ni Bwana, Mungu wako ni Mungu mwenye wivu nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi sha tatu na cha nne chawanichukiao nami na warehemu maelfu elfu wanipendao na kuzishika amri zangu.[3]Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako maana Bwana hata mhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.[4]Uikumbuke siku ya sabato uitakase siku sita fanya kazsi, utende mabo yako yote lakini siku ya saba ni sabato ya Bwana Mungu wako siku hiyo usifanye kazi yo yote wewe, wala mwana wako wala binti yako, wala mtumwa wako wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga wala mgeni aliye ndani ya malago yako maana siku sita Bwana alifanya mbingu na nchi na baari na vyote vilivyomo akastarehe siku ya saba kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya saba akaitakasa.[5]Waheshimu baba yako na mama yako sikui zako zipate kuwa nyingi katika nchi uliyopewa na Bwana Mungu wako.[6]Usiue.[7]Usizini.[8]Usiibe [9]Usimshuhudie jirani yako uongo.[10]Usiitamani nyumb aya jirani yako usitamni mke wajirani yako wala mtumwa wake, wala ng'ombe wake wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako."
Seria za Mungu zimefungwa kwa fungo moja. Upendo. Imeandikwa, Mathayo 22:37-40 "Mpende Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote hii ndiyo amri iliyo kuu tena ni ya kwanza nay a pili yafanana nayo nayo ni hii mpende jirani yako kama nafsi yako katika amri hizi mbili yategemea torati zote na manabii."
Dhambi huja kutoka ndani ya mtu. Imeandikwa, Marko 7:20-23 "Akasema kitokasho mtu ndicho kimtokacho unajisi kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya uasherati, wivu uuaji, uzinzi tama mbaya,, ukorofi, hila ufisadi,, kijocho, matukano, kiburi upumbavu. Hya ayote yaliyo maovu yatoka ndani, nayo yamtia mtu unajisi."
Hakuna aliye mwema kuliko wengine, sote tume kosea na wenye dhambi. Imeandikwa, Warumi 3:9-10 "Ni nani basi, la hata kidogo. kwa maana tumekwish akuwashitaki wayahudi na wayunani ya kwamba wamekuwa shini ya dhambi kama ilivyoandikwa ya kwamba hakuna mwenye haki hata mmoja."
Bila Yesu mwisho wetu ni mauti. Imeandikwa, Warumi 6:23 "Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu."
Je! kama siju dhambi zangu ni fanye nini? Imeandikwa, Zaburi 139:23-24 "Ee Munug unishunguze, ujue moyo wangu unijaribu ujue mawazo yangu Uone kama iko njia iletayo majuto ndani yangu ukaniongoze katika njia ya milele."
Omba toba ya dhambi zako ukapate samehewa. Imeandikwa, 1Yohana 1:9 "Tukiziungama dhambi zetu yeye ni waminifu na mwenye haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wetu."
Je dhambi zopte za samehewa? Imeandikwa, Luka 12:10 "Nakila mtu atakayenena neno juu ya mwana wa adamu atasamehewa bali aliye mkufuru Roho mtakatifu hatasamehewa."
Kuonyesha kuwa umeiasha dhambi ni kubatizwa. Imeandikwa, Luka 3:3 "Akafika nchi yote iliyo karibu na yordani, akihubiri ubatizo wa toba liletalo ondoleo la dhambi."
Ukisikia kama kuwa huna tumaini katuka dhambi zako, je ufanye nini?. Imeandikwa, Zaburi 51:2-4 "Unioshe kabisa na uovu wangu unitakase dhambi zangu maana nimejua makosa yangu na dhambi yangu I mbele yangu daima nime kutenda dhambi wewe peke yako na kufanya maovu mbele za macho yako wewe ujulikane kuwa una haki unenapo na kuwa unahaki utoapo hukumu."
Pili omba msamaha wa dhambi zako. Imeandikwa, Zaburi 51:7-12 "Unisafishe kwa hisopo nami nitakuwa safi unisafishe, nami nitakuwa safi kuliko theluji. Unifanye kusikia furaha ya shangwe, mifupa iliponda ifurahi usitiri uso wako uzitazame dhambi zangu uzifute hatia zangu zote,. Ee Mungu niumbie moyo safi, uifanye upiya roho iliyo tulia ndani yanguusinitenge na uso wako wala Roho wako mtakatifu usiniondolee unirudishie furaha ya wokovu wako; unitegemeze kwa roho ya wepesi." Latatu amini umesamehewa dhambi zako. Imeandikwa, Zaburi 32:1-6 "Heri aliye samehewa dhambi, na kusitiriwa makosa yake. heri Bwana aliyemhesabia upotovu ambaye moyoni mwake hamna hila niliponyamaza mifupa yangu ilichakaa kwa kuugua kwangu mchana kutwaa kwa maana mchana na usiku mkono wako ulinilemea jasho langu likakauka hata nikawa kama nchi kavu wakati wa kaskazi nalikujulisha dhambi yangu wala sikuufisha upotovu wangu na lisema nitayakiri maasi yangu kwa Bwana nawe ukanisahe upotovu wa dhambi yangu kwa hiyo kila mtu mtauwa akuombe wakati unapopatikana hakika maji makuu ya furikapo hayatamfikia yeye."
No comments:
Post a Comment