Quran inadai kuwa kuna Dhabihu za Wanyama kwa Wakristo, huu ni uongo na hakuna kitu kama hicho kwa Wakristo.
Sura 22:34 inasema kwamba ibada za dhabihu za wanyama zimewekwa kwa watu WOTE.
تقول السورة 22:34 أن طقوس التضحية بالحيوان قد تم تعيينها لجميع الناس.
taqul alsuwrat 22:34 'ana tuqus altadhiat bialhayawan qad tama taeyinuha lijamie alnaasi.
Sura 22:34 says that rites of animal sacrifice have been appointed to ALL people.
Hii sio kweli, hakuna sheria kama hizo kwa Wakristo.
“na Yesu mjumbe wa agano jipya, na damu ya kunyunyizwa, inenayo mema kuliko ile ya Habili.” Waebrania 12:24
Damu ya Abili ilikuwa inanena na ndugu yake afe. Lakini damu ya Yesu ni damu ya agano jipya inanena mema. Damu ya Yesu inene mema katika maisha yako, kwenye kazi, familia, ndoa, biashara yako kwa jina la Yesu.
Ni kwa kukubali damu ya Yesu, iliyomwagika msalabani kwa ondoleo la dhambi, tunaweza kusimama mbele za Mungu tukiwa tumefunikwa na haki ya Kristo (2 Wakorintho 5:21).
1 Wakorintho 10:2020
Sivyo, lakini vitu vile wavitoavyo sadaka wavitoa kwa mashetani, wala si kwa Mungu; nami sipendi ninyi kushirikiana na mashetani. Hamwezi kunywea kikombe cha Bwana na kikombe cha mashetani. 21 Hamwezi kushirikiana katika meza ya Bwana na katika meza ya mashetani. 22 Au twamtia Bwana wivu? Je! Tuna nguvu zaidi ya yeye?
.. Zaburi 126:38 kumbe kuna uwezekano wa watu kutoa kafara kwa mashetani.
Shalom,
Dr. Max Shimba for Max Shimba Ministries
No comments:
Post a Comment