Sunday, March 7, 2021

MTUME PAULO ALIENDA ARABUNI



*WAISLAM NI WANAFIKI SANA LEO SHEHE WENU KASEMA MUHAMMAD KATABIRIWA NA MTUME PAUL KISA WAMEONANA NENO ARABUNI (ARBUNI)  YA ROHO HALAFU HAPO HAPO WANAKWAMBIA PAUL SI MTUME :* 

UTANGULIZI  WA SOMO LA ARABUNI 

Mfano neno "Paka" linamaana zaidi ya Moja

      👉Paka rangi,

     ðŸ‘‰ Paka Mnyama wa nyumbani,

Mfano mwingine  neno  "Paa"linamaana Zaidi ya Moja 

      ✔Paa  👉kwa maana ya kupaa juu,

       ✔ Paa 👉Mnyama wa porini, 

       ✔Paa 👉Paa la nyumba

Mfano mwingine  neno "Kaa" linamaana zaidi ya Moja 
 
        👉Kaa chini yaani keti,

         ðŸ‘‰Kaa yaani kaaa la kuni yaani Kaa la moto, 

         ðŸ‘‰Kaa mnyama wa baharini ama majini 

         ðŸ‘‰Kaa kwa maana ya ishi Yaani Zuberi anakaa Mtwara kwetu

Sasa sio kila ukiona neno Arabuni wewe ukimbilie tu kwa maana ya UARABUNI ama ukisikia tu Arabuni tayari umwemwona mwana wa Amina! au twalib au omary 

FUNGU KUU LA SOMO 

(1Wakorintho 2 ) 
 ------------ 
12 Lakini sisi hatukuipokea roho ya dunia, bali Roho atokaye kwa Mungu, makusudi tupate kuyajua tuliyokirimiwa na Mungu.

13 Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni.

14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.

15 Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu.

16 Maana, Ni nani aliyeifahamu nia ya Bwana, amwelimishe? Lakini sisi tunayo nia ya Kristo.

QURAN INATHIBITISHA KUWA WAISLAMU HAMNA ELIMU YA ROHONI BALI MPO KIMWILI TU USHAHIDI HUU HAPA NDIYO MAANA UMEAGIZWA UJE KWA WAKRISTO AMA WAYAHUDI WAKUFUNDISHENI 

Quran 17:85. Na wanakuuliza khabari za Roho. Sema: Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu

Quran 17:36. Wala usiyafuate usiyo na ujuzi nayo. Hakika masikio, na macho, na moyo - hivyo vyote vitasailiwa

MUHAMMAD KASEMA HAPA UJE TUKUFUNDISHE NA SI WEWE UFUNDISHE SISI WAKRISTO NA WAYAHUDI

Qurani 21:7  Na kabla yako hatukuwatuma ila watu wanaume tulio wapa wahyi (ufunuo). Basi (waislamu ) waulizeni wenye ilimu ikiwa nyinyi hamjui.

Quran 10:94-95

94. Na ikiwa (mwislamu ) unayo shaka katika tuliyo kuteremshia, basi waulize wasomao Kitabu kabla yako(Al kitabu )  Kwa yakini imekwisha kujia Haki kutoka kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wenye shaka.

95. Na kabisa (mwislamu ) usiwe miongoni mwa wale wanao zikanusha Ishara za Mwenyezi Mungu, usije kuwa katika walio khasiri

BAADA YA KUONA KUWA WAISLAMU WAMEAGIZWA KUJA KWETU TUWAFUNDISHE KWA HIYO TUNAANZA NAMNA HII

 *Arbuni ni kiswahili chenye maana ya Amana ama Rehani* 

*Je Amana ana Rehani maana yake ni Nini za* 

Hili Neno Rehani ama Amana hutambuliwa kama Arbuni yaani  "Sehemu ya bei ya kitu hulipwa ili kukifunga kukifunga kisinunuliwe na mtu mwingine yaani huitwa Advansi"

"Kwa hiyo basi Paul aliposema Neno Arabuni alimanisha "Roho Mtakatifu" kwa Watu wa Mungu aliyetolewa kama dhamana ama rehani kwa ulimwengu huu ambaye ataondolewa wakati ukifika ili kuruhusu mwisho wa ulimwengu huu"

ARABUNI YAANI HUWAKILISHA ROHO MTAKATIFU KWA WATU WOTE WANAOMPOKEA YESU KRISTO KUWA MWOKOZI WAO (YAANI TUMEPEWA KAMA DHAMANA ILI ATUONGOZE UKWELI NA KUUKIMBIA UONGO 

2 Wakorintho 5:4 -10 BHN

4 Tukiwa bado katika hema hii ya duniani, tunalia kwa kukandamizwa; si kwamba tunataka kuuvua mwili huu wa kufa, ila tuna hamu ya kuvalishwa ule usiokufa, ili kile chenye kufa kimezwe kabisa na uhai. 

5 Mungu mwenyewe alitutayarishia mabadiliko hayo, naye ametupa Roho wake awe dhamana ya yote aliyotuwekea.

6 Tuko imara daima. Tunajua kwamba kuishi katika mwili huu tu ni kukaa mbali na Bwana. 

7 Maana tunaishi kwa imani, na si kwa kuona. 

8 Lakini tuko imara na tungependelea hata kuyahama makao haya, tukahamie kwa Bwana.

 9 Lakini jambo la maana zaidi, tunataka kumpendeza, iwe tunaishi hapa duniani au huko.

10 Maana sote ni lazima tusimame mbele ya kiti cha hukumu cha Kristo, ili kila mmoja apokee anayostahili kwa matendo aliyoyafanya wakati alipokuwa anaishi duniani, mema au mabaya.

KUMBE NENO MOJA LINAWEZEKANA KUWA NA MAANA TOFAUTI TOFAUTI KUTEGEMEA NA SENTESI INAZUNGUMZIA NINI 

KWA HIYO  ARABUNI ALIYETOLEWA NA MUNGU KAMA DHAMANA  (GUARANTEE ) NI ROHO MTAKATIFU NA SI NCHI ZA  UARABUNI 

2Wakorintho 5:5,17-21BHN

5 Mungu mwenyewe alitutayarishia mabadiliko hayo, naye ametupa Roho wake awe dhamana ya yote aliyotuwekea.

17 Mtu yeyote akiungana na Kristo huwa kiumbe kipya, mambo ya kale yamepita, hali mpya imefika

18Yote ni kazi ya Mungu mwenye kutupatanisha sisi naye kwa njia ya Kristo, na kutupa jukumu la kuwapatanisha watu naye.

19 Ndiyo kusema: Mungu, amekuwa akiupatanisha ulimwengu naye kwa njia ya Kristo, bila kutia maanani dhambi zao binadamu. Yeye ametupa ujumbe kuhusu kuwapatanisha watu naye.

20 Basi, sisi tunamwakilisha Kristo, naye Mungu mwenyewe anatutumia sisi kuwasihi nyinyi. Tunawaombeni kwa niaba ya Kristo, mpatanishwe na Mungu.

 21 Kristo hakuwa na dhambi, lakini Mungu alimfanya ahusike na dhambi kwa ajili yetu, ili sisi kwa kuungana naye, tupate kuushiriki uadilifu wake Mungu.

2Wakorintho 1:19-22 BHN

 19Maana Kristo Yesu, Mwana wa Mungu, ambaye mimi, Silwano na Timotheo, tulimhubiri kwenu, hakuwa mtu wa “Ndiyo” na “Siyo;” bali yeye daima ni “Ndiyo” ya Mungu. 

20 Maana ndani yake ahadi zote za Mungu zimekuwa “Ndiyo”. Kwa sababu hiyo, “Amina” yetu husemwa kwa njia ya Kristo kwa ajili ya kumtukuza Mungu. 

21 Mungu mwenyewe ndiye mwenye kutuimarisha sisi na nyinyi pia katika Kristo, na ndiye anayetuweka wakfu; 

22 ndiye aliyetutia mhuri wa kuwa mali yake yeye na kutujalia Roho mioyoni mwetu kama dhamana ya mambo yote ambayo ametuwekea.

Rejea hapa 

Waefeso 1:11-23 BHN

11 Katika kuungana na Kristo, sisi tumerithishwa wokovu kama tulivyopangiwa kadiri ya azimio lake Mungu atekelezaye kila kitu kulingana na uamuzi na matakwa yake.

 12 Basi, sisi tuliotangulia kumtumainia Kristo tunapaswa kuusifu utukufu wa Mungu!

13 Nanyi pia watu wa mataifa mengine, mliusikia ujumbe wa kweli yaani Habari Njema iliyowaletea wokovu, mkamwamini Kristo; naye Mungu, ili kuonesha kuwa nyinyi ni wake, akawapiga mhuri kwa kuwapeni yule Roho Mtakatifu aliyetuahidia. 

14 Huyu Roho ni dhamana ya kupata yote yale Mungu aliyowaahidia watu wake, na jambo hili latuhakikishia kwamba Mungu atawakomboa kabisa wote walio wake. Tuusifu utukufu wake!

Sala za Paulo

15 Kwa sababu hiyo, tangu niliposikia juu ya imani yenu kwa Bwana Yesu, na mapendo yenu kwa watu wote wa Mungu, 

16 sijaacha kamwe kumshukuru Mungu kwa ajili yenu. Ninawakumbuka katika sala zangu, 

17 ili Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba mtukufu, awajalieni Roho wake atakayewapa hekima na kuwafunulieni Mungu mpate kumjua. 

18 Namwomba Mungu aifunue mioyo yenu iweze kuuona mwanga wake, mpate kutambua lile tumaini alilowaitieni na utukufu mkuu wa zawadi alizowawekea watu wake,

 19 mpate kutambua jinsi uwezo wake ulivyo mkuu mno kwa ajili yetu sisi tunaoamini. Uwezo huo unaofanya kazi ndani yetu ni sawa na nguvu ile kuu mno 

20 aliyomfufua nayo Kristo kutoka kwa wafu, akamketisha upande wake wa kulia mbinguni.

 21 Huko, Kristo anatawala juu ya kila tawala, mamlaka, enzi na ukuu; anatawala juu ya kila cheo kiwezacho kutajwa katika ulimwengu huu na katika ulimwengu ujao. 

22 Mungu ameweka vitu vyote chini ya miguu yake, akamkabidhi kwa kanisa akiwa mkuu wa vitu vyote. 23Kanisa ni mwili wa Kristo, na ukamilifu wake yeye anayekamilisha vitu vyote kila mahali.

Shalom
 

No comments:

JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "

 JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba  Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...

TRENDING NOW