Friday, April 12, 2019
MOHAMMAD HUYOO NDANI YA BIBLIA
MOHAMMAD HUYOO NDANI YA BIBLIA.
MAAJABU YA DUNIA NA HONGERA WAISLAM
Ufunuo 20:10 Na Ibilisi aliyekuwa akiwapotosha alitupwa ndani ya lile ziwa la moto na kiberiti, ambamo wote wawili, yule mnyama wa mwituni+ na yule NABII WA UWONGO, tayari walikuwa;+ nao watateswa* mchana na usiku milele na milele.
HAKIKA MUHAMMAD ALIKUWA NABII WA UONGO
ALLAH ANASEMA ATAUKATA MSHIPA MKUBWA WA MOYO WA NABII WA UONGO:
Quran 69;44_46 Allah ataukata mshipa mkubwa wa Moyo wa Nabii wa uongo.
MUHAMMAD ANAKIRI KUWA MSHIPA WAKE MKUBWA MOYO UMEKATWA NA ALLAH:
USHAHIDI WA KWANZA:
Sahih Bukhari 5;59;713 Muhamadi amekiri wakati anakufa: Ninahisi kama mshipa mkubwa wa Moyo wangu unakatwa .
USHAHID WA PILI:
Abu Dawud 34;4498 huu ndio wakati ambapo mshipa mkubwa wa Moyo wangu unakatwa
Swali moja tu kwa Waislam: ..Allah kamwita Muhammad nabii wa uongo, Je kwa nini nyinyi Waislamu mnamfuata nabii wa Uongo?
TUENDELEE NA USHAHID MWINGINE WA QURAN:
Muhammad(SAW) alikiri kuwa yeye hakuwa na uwezo wa kufanya Miujuza
Ndugu zanguni, leo ningependa tusome kidogo kuhusu huyu Muhammad aliye dai kuwa yeye katumwa na Mungu. Hebu soma kwanza:
17. SURA AL ISRAAI (BANI ISRAIL)
90. Na walisema: Hatutakuamini mpaka ututimbulie chemchem katika ardhi hii.
91. Au uwe na kitalu cha mitende na mizabibu, na utupitishie mito kati yake ikimiminika.
92. Au utuangushie mbingu vipande vipande kama ulivyo dai; au utuletee Mwenyezi Mungu na Malaika uso kwa uso.
93. Au uwe na nyumba ya dhahabu, au upae mbinguni. Wala hatutaamini kupaa kwako mpaka ututeremshie kitabu tukisome. Sema: Subhana Rabbi, Ametakasika Mola wangu Mlezi! Kwani mimi ni nani isipo kuwa ni mwanaadamu na Mtume?
(Qur-Sura 17:90-93)
Baada ya kuombwa afanye angalau muujiza mmoja tu, Muhammad alishindwa vibaya sana na kuto fanya hata muujiza mmoja.
Swali:
1. Kwanini Muhammad alishindwa kufanya miujiza kama alivyo ombwa afanye?
2. Muhammad ni Nabii peke yake alieshindwa kufanya Miujiza tokea dunia iumbwe, Je, anaa kufuatwa na kuaminiwa?
3. Kwanini Allah nay eye hakumsaidia Nabii wake kufanya muujiza?
QURAN INASEMA KUWA, NABII LAZIMA AFANYE MIUJIZA;
MUHAMMAD ANAKIRI KUWA YEYE NI MTUME BANDIA NA HAKUFANYA MIUJIZA
Qur’an nayo inathibitisha kuwa manabii na mitume ni lazima wafanye miujiza.
Qurani 40:78 Suratul Al-Muumini [Waumini] inasomeka “Na kwa yakini tumewatuma mitume kabla yako wengime katika wao tumekusimulia (majina yao na habari zao) na wengine hatukukusimulia na haikuwa kwa mtume yoyote kuleta muujiza wowote ila kwa idhini ya Mwenyezi Mungu”
Muhammad hakuwai fanya muujiza wowote ule ili kuthibitisha madai ya unabii na utume wake.
Qur’an 29:50 Suratul Al-Ankabuut (Buibui). “Na walisema “Mbona hakuteremshiwa miujiza kutoka kwa Mola wake? Sema miujiza iko kwa Mwenyezi Mungu tu (akitaka atakuteremshieni na kama hataki basi),nami hakika ni mwonyaji mbainishaji (dhahiri tu).” (Taz. Qur,an 6:35-37 13:7,)
Muhammad anakiri kuwa yeye hakuwai fanya miujiza. Hivyo Kutokana na Quran yao wenyewe Muhammad ni mtume bandia.
Zaidi ya hapo Muhammad hakuwai fanya unabii wowote ule. Sasa Nabii bila ya unabii inawezekanaje?
Sifa mojawapo ya Nabii ni kutoa unabii. Muhammad hakuwai toa unabii wowote ule.
Ndugu msomaji,
Muhammad hakuwa Mtume wa Mungu na wala hana sifa za KITUME.
1. Muhammad hakuwai ongea na Allah aliye mtuma.
2. Muhammad alikuwa na Shetani tokea kuzaliwa kwake.
3. Muhammad alikiri kuchezewa na Shetani wakati wa kusimikwa utume wake Pangoni.
4. Muhammad alikiri kuwa Shetani amechezea akili na nafsi yake.
5. Muhammad alikiri kuwa alirogwa na Labiid bin Al'answan.
SASA WAISLAM, NIONYESHENI, wapi kwenye Taurat, au Zaburi au Injili kama kuna Mtume aliye na sifa za ajabu kama za Muhammad.
Karibuni kwa Yesu ambaye ndie Njia Pekee ya Kwenda Mbinguni.
Mungu awabariki sana.
HAKIKA MUHAMMAD ALIKUWA NABII WA UONGO
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "
JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...
TRENDING NOW
-
Baba umenipa funguo muhimu katika Mathayo 16:19 za kufunga na kufungua. Ninatumia funguo hizo kufunga na kufungua, kuvunja na kubamiza kil...
-
Kuna watu wanapitia mateso mengi sana, wengine wamefungwa katika vifungo bila wao kujijuwa basi chukua muongozo huu utakusaidia au itasaid...
-
Adui anakuja kuiba, kuua na kuharibu kila kitu chetu, ni lazima kuwa tayari kupambana na maadui, tujue silaha zetu, na kutumia neno la Mun...
-
Twakusalimu kwa mara ingine katika jina tukufu na takatifu la Yesu Kristo Bwana wetu. Twazidi pia kukushukuru kwa ajili ...
No comments:
Post a Comment