Warumi Mlango 9:5 ambao mababu ni wao, na katika hao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili. Ndiye aliye juu ya mambo yote, Mungu, mwenye kuhimidiwa milele. Amina.
Neno la Mungu linatuambia yafuatayo:
1. Yesu yupo Juu ya mambo yote.
2. Yesu ni Mungu.
3. Yesu ni mwenye kuhidimiwa milele.
Tunapo sema Yesu ni Mungu huwa hatubahatishi.
Shalom,
Max Shimba Mtumwa wa Yesu kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13
No comments:
Post a Comment