Friday, December 7, 2018

MUHAMMAD ALIVUNJA AMRI KUMI ZA MUNGU (SEHEMU YA SITA)

Image may contain: 4 people
Katika somo letu la leo, tutaingalia amri ya Sita inayo sema "USIUE". Kitabu cha Kutoka 20:13. Usiue.
Hebu kwanza tumsome Bwana wetu Yesu Kristo anasema nini kuhusu amri kuu:
Luka 4:16 Yesu alipoulizwa, Nifanye nini ili niurithi uzima wa Milele, Yesu alizitaja Amri kumi kama kanuni kuu za Ufalme wa Mungu. Biblia yasema hivi: “Na tazama, mtu mmoja akamwendea akamwambia, Mwalimu, nitende jambo gani jema, ili nipate uzima wa milele? Akamwambia Kwani kuniuliza habari ya wema? Aliye mwema ni mmoja. Lakini ukitaka kuingia katika uzima, zishike amri. Akamwambia, Zipi? Yesu akasema, Ni hizi, Usiue, Usizini, Usiibe, Usishuhudie uongo, Waheshimu baba yako na mama yako, na, Mpende jirani yako kama nafsi yako.
MUHAMMAD ALIVUNJA AMRI YA SITA KWA KUFANYA MAUWAJI MABAYA SANA.
Hivi kwanini Allah aliruhusu kuuwawa kwa Vikongwe? Hivi kwanini Muhammad alifanya hiyo kazi ya Allah na kuwauwa Vikongwe na ajuza?
Mohammad na kikosi chake kiliuwa wazee wa makamo; Umm Qirfa Fatima, Abu Afak na mzee aliyekataa kusujudia Al-Kaaba.
Baada ya kuuteka mji wa Kaaba Mohammad alimtuma mfuasi wake, Zayd Ibn Haritha kuenda kuuteka kabila ambalo liliukana Uislamu. Zayd bin Haritha alifanikiwa kuuteka huo mji pamoja na kuuwa wazee wakongwe na kuwateka wanawake na watoto walitojaribu kutoroka.
“…na tuliwashambulia kutoka pande zote hadi tukafika karibu na visima vyao ambapo tulipigana vita vikali. Tuliwauwa Aadui zetu wengine huku wengine wakichukuliwa kama mateka wa vita. Niliona kwa mbali kundi la watu lililojumuisha wanawake na watoto wakitoroka. Niliogopa, wasije wakafike mlimani kabla yangu, hivyo nikalenga mshale kati yao na ukaangukia kwa mbele kati yao na mlima. Nikawarudisha nikiwakimbiza kama mifugo walikotoka. (Sahin Muslim 4345)
Umm Qirfa ni miongoni mwa wanawake walitekwa vitani
Alikuwa ajuza (bi kizee), mke wa Malik. Binti yake (na wenzake) walitekwa pia. Zayd Ibn Haritha akaamuru Qays kuuwa Umm Qirfa na akamuuwa kinyama kwa kumfunga kwa kamba kila mguu kwa ngamia mbili na kuwaamuru hao ngamia kuenda pande tofauti. Umm Qirfa alichanika katikati, akatokwa na damu akapasuka mishipa, mifupa na kufa ghafla! (Ibn Ishaq/Hisham 980)
Binti yake ajuza, Umm Qirfa Fatima, aliletwa Makka pamoja na mateka wengine ambapo alipewa kama jizya (zawadi). (Hii ilikuwa kabla ya Mohammad kumtambua)
Niliwatembeza hadi nikawaleta kwa Abu Bakr ambaye alinitunukiza huyu binti kama zawadi. Hivyo tukafika Medina. Sikuwa nimemvua buibui wakati mtume wa Allah (s.a.w) alipokutana nami njiani na kusema; “nipe huyu binti awe mke wangu.” (Sahih Muslim 4345)
Mohammad aliamuru kuuliwa kwa mkongwe aitwaye Abu Afak. Hii ilitendeka miaka miwili baada ya Mohammad kuingia Medina. Abu Afak akikuwa na umri wa miaka 120. ‘kosa’ lake likiwa kuandika mashairi ya kukashifu vitendo vya mtume wa Uislamu-Mohammad vya kuchinja na kuteka wanawake vitani.
Mohammad akasema, “Ni nani ataniadhibia huyu mtwana?” Hivyo mfuasi wake Mohammad akainuka na kumuua Abu Afak. (Ibn Ishaq/Hisham 995).
Alipokuwa anamuua Abu Afak, inasemekana muuaji alimkejeli na kuingiza kisu tumboni mwake na kusema, “chukua hicho Abu Afak, licha ya umri wako.” (Ibn Ishaq/Hisham 995)
Baadaye, Mohammad aliuwa mwanamke aliyekuwa na watoto watano kwa kupinga mauaji ya Abu Afak. Mtume bandia wa Allah aliuwa kila ambaye alipinga mambo yake, badala ya kukumbana na wapinzani wake kwa mjadala wa maantiki.
Vilevile, mkongwe mwingine aliuliwa kutokana na amri ya Mohammad ya kuuwa mtu yeyote kule Mekka ambaye sio mwislamu kufuatia utekaji wa mji huo mwaka 630. (Sehemu ya kuran ya sura ya 9 inaamuru kuchinja). Kifo cha huyu mtu kimenukuliwa kwenye kitabu cha Bukhari:
Mtume alisoma Suratan-Najm (103) akiwa Makka huku akiwa amelala chali na waliokuwa pamoja naye walifanya vivo hivyo isipokuwa mkongwe mmoja aliyechukua funda la mchanga na kuiweka kichwani kisha kusema; “hii yanitosha.” Baadaye, nikaona anauliwa kama kafir. (Bukhari 19:173)
**ni kawaida ya waislamu kulalamika kuwa dini yao inakashifiwa na allah wao kutukanwa. Nataka kuwataarifu kuwa hizo NUKUU sio zangu bali zimenukuliwa kutoka kwa vitabu vya Kiislamu. Mimi ni mjumbe tu.**
Ndugu msomaji, leo umejifunza kwa kutumia vitabu vyao kuwa Allah alimruhusu Muhammad kuuwa vikongwe na ajuza. Hakika hakuna dhambi mbaya kama ya kuuwa vikongwe na ajuza pamoja na watoto kama alivyo fanya Muhammad nabii wa Allah.
MUHAMAMD ALIVUNJA AMRI KUU YA SITA KWA KUFANYA HAYO MAUWAJI.
Ni mimi Max Shimba, mtumwa wa Yesu Kristo, Mungu Mkuu. Toto 2:13
For Max Shimba Ministries Org,
MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2016. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.

No comments:

JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "

 JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba  Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...

TRENDING NOW