Kitabu cha Kutoka 20:8. Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
MUHAMMAD BIN AMINA ALIVUNJA AMRI KUU KUHUSU SABATO
WAISLAM WANAO VUNJA SABATO NI WADHALILIFU NA WATAGEUZWA MANYANI
Tusome aya ya Allah:
AL - BAQARA 65: Na hakika mlikwisha yajua ya wale miongoni mwenu walio ivunja Sabato, (siku ya mapumziko, Jumaa Mosi) na tukawaambia: Kuweni manyani wadhalilifu.
Kama Allah anajua kuwa Siku ya Jumamosi ni ya mapunziko, iweje Waislam wa leo hawapumziki siku ya Jumamosi?
Kwanini Waislam wamekataa kuitunza Jumamosi?
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13
No comments:
Post a Comment