Sunday, September 9, 2018

MAREHEMU MOHAMMAD KASEMA AKHERA IMEJAA MAKABURI NA NDIO BUSTANI


ASTAGHFIRULLAH
Al-Tirmidhi HadithI ya 5352 (Sehemu) Imesimuliwa na Abu Sa'id
Nabii wa Allah alisema: Kaburi ni sehemu ya Bustani ya Akhera au moja ya shimo la Jehannam.


حديث الترمذي 5352 (جزء) رواه أبو سعيد
قال النبي صلى الله عليه وسلم: "القبر من حدائق الجنة، أو من حفر جهنم".
hadit al-tarmethi 5352 (jaza) roah apo said
qal al-nabi sali alleh alih waslem: "al-qabr minn hadaiq al-jannah oa minn hafar jahnam".

Kwa Kiingereza:

Al-Tirmidhi Hadith 5352 (part) Narrated by Abu Sa'id
The Prophet (saws) said: "The grave is one of the gardens of Paradise, or one of the pits of Hell."
KAMA AKHERA YA WAISLAM IMEJAA MAKABURI, NA NDIO BUSTANI ZAO WANAZO LINGIA, WALAHI SISI WAKRISTO TUNAO JITAMBUA KAMWE HATUUTAKI UISLAM.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW