Monday, September 10, 2018

LUGHA YA KIARABU INA UMRI WA MIAKA MINGAPI? KUMBE KIEBRANIA NI LUGHA YA ZAMANI ZAIDI YA KIARABU

Image may contain: one or more people and text

KUMBE KIEBRANIA NI LUGHA YA ZAMANI ZAIDI YA KIARABU
LUGHA YA KIARABU INA UMRI WA MIAKA MINGAPI?

Utafiti wa kitaalam unasema na kuthibitisha kuwa, lugha hii ya Kiarabu ina umri wa miaka angalau 1500. Hii inamaanisha kuwa, Adam na Mkewe pamoja na Mitume wote wa kwenye Biblia hawakujua wala zungumza Kiarabu. Kiufupi, Kiarabu kilianza baada ya miaka angalau 600 BK.

Hii lugha ya Kiarabu ilianza kwenye Century ya 6 na ndio iliyo tumika kuandika Koran. (Western Semitic languages (323). (Mukhopadhyaya 3-4).

Wakati Kiebrania kilikuwepo miaka zaidi ya 2000 kabla ya kuzaliwa Yesu, hii inamaanisha kuwa Kiebrani ni lugha JABALI ZAIDI YA KIARABU KILICHO KUJA WAKATI WA MOHAMMAD. Helena Almagest, M.A. Indo-European Studies & General Linguistics, Ludwig Maximilian University of Munich (2005)

Kiarabu cha Kisasa ni lugha inayo zungumzwa na watu karibia Milioni 250 na ni lugha yenye miaka miachache sana. (Blau 1; Diglossia 340). Arabic and Standard Arabic (See Appendix 2) (Koine 53).

Hivyo, dai la Waislam, eti Adam alitumia Kiarabu, Musa alitumia Kiarabu ni uongo usio na uthibitisho.

NJOONI KWA YESU KWENYE RAHA TELE.

Shalom,

Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW