Friday, September 21, 2018

KUMBE KUHIJ MAKKA NI BIASHARA YA UTALII

Image may contain: one or more people and people standing
Msibaaaaaa
UTALII NI NINI?
Kwa tafsiri ya Shirika la Utalii duniani:
Utalii ni kitendo cha watu au mtu kuondoka kwenye mazingira yake ya kila siku (mfano, mahali unapoishi au kufanya kazi) na kufanya safari au matembezi ya muda sehemu nyingine kwa nia ya kupumzika au kufanya kazi.
Shughuli atakazozifanya ikiwa ni pamoja na kuangalia mazingira n.k, kutumia miundombinu (barabara, nyumba za kulala wageni n.k) atakayoitumia kukidhi mahitaji yake nje ya mazingira yake ya kila siku wakati akiwa safarini humfanya mtu huyo aitwe MTALII.
Makka ni mji mtakatifu wa Uislamu. Kila mwaka mamilioni wa Waislamu wanahiji kwenda Makka kutalii. Wakati huu wa hajj wanajaribu kufuata nyayo za mtume Muhammad kama utalii unavyo ruhusu. Makka ni mji uliofungwa kwa wasio Waislamu yaani, hawaruhusiwi kwenda kutalii Makka. http://www.sauditourism.sa/…/Regi…/Makkah/Pages/default.aspx
Hivyo kufanya shughuli nzima inayofanyika iitwe UTALII.
Na ili mtu atambulike kama mtalii kuna mambo matatu muhimu nayo ni;
a) Kutoka sehemu moja kwenda nyingine
b) Lengo la matembezi hayo
c) Muda wa kukaa katika sehemu husika, unatakiwa ukae si chini ya masaa 24 na si zaidi ya mwaka.
KWA NINI KUTALII?
Kuna sababu mbili kuu:
A) MSUKUMO KUTOKA NDANI
Mtu amechoka kukaa kwenye mazingira yake ya kila siku hivyo kuhitaji:
§ Kuyaondoka kwa muda mazingira yake
§ Kwenda kupumzika
§ Kucheza
§ Fursa za kielimu au kidini.
§ Kuimarisha undugu wa kifamilia
§ Mahusiano ya kijamii au kidini.
§ Kuitosheleza nafsi yake
§ Manunuzi n.k
B) MVUTO KUTOKA NJE
§ Umashuhuri au sifa za mahali husika
§ Fahari
§ Utofauti na mahali pengine n.k
Shalom
Ni mimi Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW