Tuesday, July 3, 2018

SHEREHE YA KULA NYAMA YA MBWA YAFANA



Sherehe ya kula nyama ya mbwa iliogubikwa na utata katika mji wa Madina imeanza licha ya ripoti za awali kwamba ilikuwa imepigwa marufuku mwaka huu.
Mapema mwaka huu ,wanaharakati walidai kwamba wafanyibiashara waliagizwa na mamlaka kutouza nyama ya mbwa.


    Lakini wamiliki wa vibanda vinavyouza nyama hiyo waliambia BBC hawajasikia lolote kuhusu hatua hiyo kutoka kwa maafisa.

    Katika sherehe za miaka ya nyuma kumekuwa na mzozo kati ya wauzaji nyama ya mbwa na wanaharakati waliojaribu kuwaokoa mbwa waliopangiwa kuchinjwa.

    No comments:

    Jesus said to Thomas that HE IS THE LIVING GOD

    John 14 ► Peshitta Holy Bible Translated Verse 5 and 6 Thoma said to him, “Our Lord, we do not know where you are going and how can we know ...

    TRENDING NOW