Wednesday, July 11, 2018
MWISLAM SHAFQAT MALIK WA SIASA KALI AJILIPUA NA KUUWA WENZAKE 20 HUKU AKISEMA WALLAHU WAKBAR
ALIBEBA BOMU LA KILO 8 NA VIFAA VINGINE VYA KUJILIPUA VYENYE KILO 3
WAISLAM WASHANGALIA TUKIO HILO
PAKISTAN: Watu 20 waangamia katika shambulizi la kujitoa muanga nchini Pakistan lililo fanywa na Waislam wa Siasa Kali.
Watu wasiopungua 20,ikiwa ni pamoja na mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa, Haroon Bilour,wameuawa katika shambulio dhidi ya mkutano wa uchaguzi.
=================
Kundi la Waislam wa Taliban limedai kuhusika na shambulizi hilo kwa mujibu wa maafisa wa usalama nchini Pakistani.
Shambulizi hilo lililotokea katika Peshawar kaskazini-magharibi mwa Pakistani, ni shambulizi baya lililosababisha vifo vya watu wengi nchini humo tangu kuanza kwa kampeni ya uchaguzi wa wabunge,uchaguzi uliopangwa kufanyika Julai 25.
Shambulizi hili lilitekelezwa wakati wa mkutano wa chama cha Awami National Party (ANP),ambacho tayari kililengwa na mashambulizi ya wapiganaji wa Kiislamu kwa kuonyesha upinzani wake kwa makundi kama vile Taliban.
"Idadi ya watu waliouawa imeongezeka na kufikia 20 na 63 wamejeruhiwa, ambapo 35 bado wamelazwa katika hospitali mbili huko Peshawar," mkuu wa polisi Qazi Jameel ameliambia shirika la habari la AFP.
Idadi hii imethibitishwa na afisa katika Hospitali ya Peshawar, Zulfiqar Babakhel.
Kwa mujibu wa mkuu wa kikosi cha kutegua mabomu, Shafqat Malik, mshambuliaji wa kujitoa mhanga,16, alikuwa amebeba kilo 8 ya mabomu na kilo 3 ya vifaa vingine vya kuripuka..UKWELI NA UHAKIKA.
Huu ndio Uislam dini ya haq.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Muhammad’s Fear Of Judgment Day
Muslims beware! The next eclipse could be the Day of Judgment . This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...
TRENDING NOW
-
Baba umenipa funguo muhimu katika Mathayo 16:19 za kufunga na kufungua. Ninatumia funguo hizo kufunga na kufungua, kuvunja na kubamiza kil...
-
Kuna watu wanapitia mateso mengi sana, wengine wamefungwa katika vifungo bila wao kujijuwa basi chukua muongozo huu utakusaidia au itasaid...
-
Adui anakuja kuiba, kuua na kuharibu kila kitu chetu, ni lazima kuwa tayari kupambana na maadui, tujue silaha zetu, na kutumia neno la Mun...
-
Twakusalimu kwa mara ingine katika jina tukufu na takatifu la Yesu Kristo Bwana wetu. Twazidi pia kukushukuru kwa ajili ...
No comments:
Post a Comment