Friday, May 25, 2018

YESU ANAKUJA

Image may contain: sky, cloud, night, text and outdoor
Ufunuo wa Yohana 22:7
Na tazama, naja upesi; heri yeye ayashikaye maneno ya unabii wa kitabu hiki.
Ufunuo wa Yohana 22:12
Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo.
NJOO SASA ANAKUSUBIRI.
Yohana 6:37
"Wote anipao Baba watakuja kwangu; wala ye yote ajaye kwangu sitamtupa nje kamwe."
Ukisoma katika kitabu cha Yohana 14: 1-3 na Mathayo 24: 29-37, siku hiyo itakuwa ni ya kutisha, mwezi utakuwa giza na jua pia, kisha nyota zitaanguka kutoka mbinguni zitue katika ardhi hii watu wanayoishi, na mbingu zitatetemesha na ndipo mwana wa pekee YESU WA NAZARETI ataonekana akishuka kuwanyakua wale tu waliookoka na kuishi maisha matakatifu.
Shalom
Max Shimba Mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu na Mwokozi wetu. Tito 2:13

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW