Friday, May 25, 2018

PEPONI WAISLAM WATAPEWA WANAWAKE WA KIARABU

Image may contain: 1 person, sunglasses


ALLAH ANAPENDA WANWAKE WA KIARABU NA SIO WAAFRIKA WEUSI
Katika makala hii, tunawazungumzia wanawake wa Peponi
Katika Simulizi za Waislamu, Hurulayn ni mwanamke mwenye macho makubwa. Kwa kawaida, wanaelezewa kama viumbe wenye rika moja, macho ya mahaba, macho ya -aibu-aibu, Weupe kama Wahabeshi au Waarabu, watwaharifu au tuseme ni wake wa Peponi wasiojua machafu.
Hawa ni wanawake wa Kibinadamu na Kijini ambao wataingia Peponi baada ya kuumbwa upya katika maisha ya Akhera. Hawa ni wanawake walioahidiwa Waislamu hasa Mashahiid baada ya kufa kwao. Baadhi ya simulizi zinasema kila mmoja atapata mahurulayn 72.
Hata hivyo, Qur’an inasema kuwa waumini wote watakaoingia Peponi watapewa mke zaidi ya mmoja miongoni mwa Mahurulayn. Idadi ya Mahurulayn 72 inatokana na Hadith ambayo isinadi yake ina walakini (ambayo haina wapokezi wa kuaminika, na ambayo haitokani na Qur’an).
Katika Qur’an, Mahuralyn wanaitwa “marafiki” wanaochunga macho yao”, wenye macho yenye haya, makubwa, ya kurembuka, na ya mahaba, macho ya mfano wa lulu, mazuri, ya kuvutia.
Allah ameahidi kwenda kuwaoze Waislam hoa wanawake 72 Mahurulaini, kwa hivyo jiwe hili ni kwa ajili ya ahadi hizo, nikasema, hii ni ahadi iliyokuja mika 615 baada ya Kristo, ambayo Muhammad ametoa ahadi kwa waislamu kuwa, siku ya mwisho, watakwenda kuozwa wanawake wenye kupendeza wenye macho makubwa kama mayai ya mbuni na maziwa yao kama mabakuli.
ﺇِﻟَّﺎ ﻋِﺒَﺎﺩَ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﺍﻟْﻤُﺨْﻠَﺼِﻴﻦَ
Quran 37:40. Isipokuwa waja wa Mwenyeezi
Mungu waliosafishwa.
ﺃُﻭْﻟَﺌِﻚَ ﻟَﻬُﻢْ ﺭِﺯْﻕٌ ﻣَّﻌْﻠُﻮﻡٌ
41. Hao ndio watapata riziki maalumu.
ﻓَﻮَﺍﻛِﻪُ ﻭَﻫُﻢ ﻣُّﻜْﺮَﻣُﻮﻥَ
42. Matunda na wao wataheshimiwa.
ﻓِﻲ ﺟَﻨَّﺎﺕِ ﺍﻟﻨَّﻌِﻴﻢِ
43. Katika Bustani zenye neema.
ﻋَﻠَﻰ ﺳُﺮُﺭٍ ﻣُّﺘَﻘَﺎﺑِﻠِﻴﻦَ
44. Juu ya vitanda vya fahari wakikabiliana.
ﻳُﻄَﺎﻑُ ﻋَﻠَﻴْﻬِﻢ ﺑِﻜَﺄْﺱٍ ﻣِﻦ ﻣَّﻌِﻴﻦٍ
45. Wakizungushiwa kikombe chenye (kinywaji)
safi.
ﺑَﻴْﻀَﺎﺀ ﻟَﺬَّﺓٍ ﻟِّﻠﺸَّﺎﺭِﺑِﻴﻦَ
46. Cheupe chenye ladha kwa wanywao.
ﻟَﺎ ﻓِﻴﻬَﺎ ﻏَﻮْﻝٌ ﻭَﻟَﺎ ﻫُﻢْ ﻋَﻨْﻬَﺎ ﻳُﻨﺰَﻓُﻮﻥَ
47. Hakina. madhara, wala hakiwaleweshi.
ﻭَﻋِﻨْﺪَﻫُﻢْ ﻗَﺎﺻِﺮَﺍﺕُ ﺍﻟﻄَّﺮْﻑِ ﻋِﻴﻦٌ
48. Na pamoja nao watakuwa wanawake wenye
macho mazuri matulivu.
ﻛَﺄَﻧَّﻬُﻦَّ ﺑَﻴْﺾٌ ﻣَّﻜْﻨُﻮﻥٌ
49. Hao wanawake kama mayai (ya Mbuni) yaliyohifadhiwa.
Nikaendelea kuzisoma habari hizi kupitia kitabu cha
RAHA ZA PEPONI, KILICHOANDIKWA NA SHEIKH KHAMIS IBRAHIMU
P.O. BOX 2822 Mwanza Tanzania
Mobile +255714 502 620
+255783 326 466
+255766 431 675
Mshauri:
Ustadhi AbdulShakur Maulid/
Katika ule ukurasa wa 52 Sheikh anasema,
ANASEMA MWENYEZI MUNGU (Subuhaanahu
wata’alaa)
”…. Na humo watapata wanawake walio takasika
(Na kila mabaya na machafu)….” (Quran 2;25)
Na kila watakapokuwa wanaingiliwa na waume zao watakuwa ni mabikira. Bikira hii haishi kwa kuingiliwa, isipokuwa inakuwa mpya, hatoki damu wala kusikia maumivu yoyote.
Mtu atapewa nguvu za watu 100 katika unywaji na uingiliaji; kisha ataongozewa nguvu zingine zaidi, mme atamwingilia mke wake kama alivyokuwa akimwingilia hapa Duniani, lakini peponi ni kwa muda mrefu, ni miaka 80 ya huko akhera, bila kufika kileleni (Kutokwa shahawa) Ifahamike siku moja ya akhera ni sawa na mika 1000 ya huku duniani. Kwa hisabu ya huku duniani ni miaka 28,000,000, Miaka Milioni 28!
Wakati wote huo wanasikia ladha nzuri mno na raha kubwa ajabu! Hizo ndizo neema za Allah peponi!
Basi, Hakika tutafute Radhi za ALLAH na kila mara tumuombe ALLAH atujalie tuwe miongoni mwa watu wema AMIN. (Mwisho wa kunukuu).
Sheikh Kitabu hiki amekuja kukirudia upya kwa kuweka namba zake, mwanzoni alipoandika hakuweka contact, waislamu walimshauri aweke contact, ndo akaamua kuweka, ila maneno ni yale yale, Nilipokuwa natafakari ahadi hizi, nikawa najiuliza maswali mengi, mwanamke huyo bikira yake ambayo haishi, atakuwa anaingiliwaje?
Mtu mmoja atapewa nguvu za wanaume mia, katka kula na pia katika kumuingilia mwanamke, tena isitoshe, Wanawake wako 72, Na mwanamke mmoja anaingiliwa kwa muda wa mika 80 kwa hisabu ya miaka ya akhera, ambayo kwa hapa duniani, ni sawa na miaka milioni 28 Mwanaume bado yupo juu ya kifua cha mwanamke, hao wengine 71 wapo sijui chumbani, wanasubiri mwenzao amalize zamu yake ya kuingiliwa, na wao waingiliwe, sasa kama mwenzao mmoja tu, anaingiliwa kwa miaka hiyo milioni 28, bila mwanaume kumwaga mbegu za uzazi, (Na haijulikani atamwaga lini) sasa hao wanawake wengine watakuja kuingiliwa lini?
Huyo wa 72 zamu yake itamfikia lini ikiwa tu mwenziwe wa kwanza anaingiliwa kwa mika milioni 28 bila mzee kufika magogoni?
Waislam wanafundishwa kuwa, muislamu akiua, (akijitoa muhanga) malipo yake, ni hayo ya wanawake, nikaanza kupata picha kuwa, ndiyo maana waislamu, kuua kwao, sio ajabu, wala wao kufa siyo jambo kubwa, wanatamani kuua na wao wauawe, ili wawahi kwenda huko, kupewa wanawake hao, maana wamea ahidiwa hivi.
Quran 9:111. Hakika Mwenyezi Mungu amenunua kwa Waumini nafsi zao na mali zao kwa kuwa wao watapata Pepo. Wanapigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu - wanauwa na wanauwawa. Hii ni ahadi aliyo jilazimisha kwa Haki katika Taurati na Injili na Qur'ani. Na nani atimizae ahadi kuliko Mwenyezi Mungu? Basi furahini kwa biashara yenu mliyo fanya naye. Na huko ndiko kufuzu kukubwa.
Malipo yo baada ya kuua ni haya
ﻣُﺘَّﻜِﺌِﻴﻦَ ﻋَﻠَﻰ ﺳُﺮُﺭٍ ﻣَّﺼْﻔُﻮﻓَﺔٍ ﻭَﺯَﻭَّﺟْﻨَﺎﻫُﻢ ﺑِﺤُﻮﺭٍ ﻋِﻴﻦٍ
Quran 52:20. Wakiegemea juu ya viti vya fahari vilivyopangwa safu, na tutawaoza wanawake weupe wenye macho makubwa (ya vikombe)
Hadithi ya Abuu Said Al Khudryi (r.a) amesema, Mtume (S.a.w)
Alitoka katika Idd ya Adh-ha au ya Fitri kwenda Al-Musalla (Mahali pa kusalia) akapita kwa wanawake, akawaambia, “Enyi wanawake toweni sadaka kwani nimeoneshwa ninyi ndiyo wengi zaidi motoni”
Wakauliza, “Kwa sababu gani EWE Mtume wa Allah?” Akawajibu, “Mnazidisha sana laana na hamuwafanyii wema waume zenu. Sikumuona miongoni mwa wapungufu wa akili na dini kama nyie, Mwanaume mwenye busara anaweza kupotoshwa na mmoja wenu” Wakauliza EWE mtume wa Allah nini upungufu wa dini yetu na akili yetu?” Akasema, “Hivi hamjui kuwa ushahidi wa wanawake wawili ni sawa na ushahidi wa mwanaume mmoja?” Wakajibu, “Hilo tunalifahamu” Aksema. “Huo ndio upungufu wa akili. Hivi hamjui mwanamke anapokuwa na Hedhi hasali na hafungi?” Wakajibu, “Hilo tunalifahamu” Akajibu, Huo ndiyo upungufu wa Dini yake” (BUKHARI, HADITHI NA. 301, JUZUU 1)
Nawaonea huruma sana Wanawake wa Kiislam maana hawana chao.
Muhammad yeye alifundisha kuwa dalili za kiyama, ni kutingishika kwa matako?
Hadithi ya Abuu Huraira (r.a) Kuwa Mtume (S.a.w) amesema, Hakitasimama Kiyama mpaka matako ya wanawake wa kabila la Dausi yatingishike kulizunguka Dhil-al-Khalaswa.
Dhil-al-Khalaswa, ni sanamu ambalo walikuwa wakiliabudu kabla ya Uislamu” (BUKHARI, HADITHI NA. 232, JUZUU YA 9)
Shalom,

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW