Saturday, May 12, 2018

MUHAMMAD HAKUWAI PASUA MWEZI





ALITUMIA KUPATWA KWA MWEZI KAMA MUUJIZA KWA MANGUMBARU WA KIISLAM


Ungana nami moja kwa moja na tuone huo uongo upo wapi katika dini hii ya Jibril ibn Allah.

MADAI YA MUHAMMAD KUHUSU KUPASUKA KWA MWEZI

"Hitaji la wapagani kwa Nabii kuwa awaonyeshe miujiza. Nabii aliwaonyesha kupasuka kwa mwezi. ‘Abdullah bin Massud alisimulia: Wakati wa maisha ya Nabii mwezi ulipasuliwa vipande viwili na Nabii alisema kuhusiana na hilo, ‘Shuhudia (jambo hili).’" Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 56 sura ya 26 na juzuu ya 4 kitabu cha 56 sura ya 26 na.830, uk.533.

Tambua kuwa kupasuliwa vipande viwili kunamaanisha kuwa mwezi uligawanywa nusu kwa nusu, na kitenzi kilichotumika hapa ni cha wakati uliopita. Hatuna kumbukumbu za watu wengine wowote ulimwenguni, ikiwa ni pamoja na jirani zao wa Misri, Syria, au Uajemi ambao waliuona mwezi uliopasuliwa vipande viwili. Kurani na hadithi hazisemi ni jinsi gani mwezi uliweza kurudi kuwa kitu kimoja tena.

Imaam Ahmad amerekodi kuwa Jubayr bin Mutw'im alisema: "Mwezi ulipasuka vipande viwili wakati wa Mjumbe wa Allah na sehemu ya mwezi ulikuwa juu ya mlima na sehemu nyingine kwenye mlima mwingine. Wakasema (makafiri) "Muhammad ametufanyia uchawi". Kisha wakasema: "Angeliweza kututeka kwa uchawi asingeliweza kufanya kwa watu wote" [Imaam Ahmad]

Imaam Ahmad aliye rekodi kuwa Jubayr Mutwila aliye sema eti Mwezi ulipasuliwa vipande viwili na sehemu ya Mwezi ukawekwa kwenye mlima.

SASA TUANZE UTAFITI WETU WA KISAYANSI NA MAHESABU.

MWEZI UNA KIPENYO CHA MAILI 1079

Hii inamaanisha ukubwa wa Mwezi ni kiasi cha Maili za Mraba Milioni 14.6 sawa na Kilometa za Mraba Milioni 38. Ukilinganisha na bara zima la Asia lenye ukubwa wa Maili za Mraba 17.2 utaona Bara zima la Asia ni kubwa kidoogo ya mwezi.

SAUDI ARABIA INA UKUBWA WA (LAKI 8.3 MAILI ZA MRABA)

Sasa nusu ya mwezi inaukubwa wa MAILI ZA MRABA MILIONI 7.3 ambayo ni zaidi ya mara 14 ya nchi ya Saudi Arabia. LAKINI MUHAMMAD ANADAI NA KUWAAMINISHA WAISLAM ETI YEYE ALIWEKA KIPANDE HICHO CHA MAILI ZA MRABA MILIONI 7.3 KWENYE MLIMA ULIO NDANI YA NCHI AMBAYO NI NDOGO KWA MARA 14.

Hivi kwanini Waislam hawajui Hisabati na au kwanini wanapenda kujifanya malofa na wapumbavu wa akili wakati hili dai la kupasua Mwezi linaweza kuthibitishwa kwa hesabu za darasa la Nne?

HEBU TUSOME DAI HILI KWA HADITHI NYINGINE

"Anas alisimulia kwamba watu wa Maka walimwomba Mtume wa Allah awaonyeshe muujiza, na kwa ajili hiyo aliwaonyesha mwezi unaopasuka." Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 56 sura ya 26 na.831, uk.533.

SASA, Muhammad aliwezaje kuwaonyesha Mwezi ambao kama ungeweka juu ya Mlima kama anavyo dai, kipande kimoja tu ni nusu ya bara zima la Asia, na Uarabuni yote ingefunikwa na kipande hicho kimoja tu?

Sasa Muhammad alisimama wapi wakati anaonyesha hivyo vipande viwili vya Mwezi vyenye ukubwa wa nusu ya bara zima la Asia?

Tunaposeam kuwa Marehemu Muhammad alikuwa mtume BANDIA huwa hakumsingizii zaidi ya kumpa sifa yake thabiti ya UBANDIA.

NINI KILITOKEA? KUPATWA KWA MWEZI Kupatwa kwa Mwezi (en:lunar eclipse) ni hali ya Mwezi kutoonekana kisehemu au kabisa kwa muda mfupi hadi kuonekana tena kama mwezi mpevu. Badiliko hili linaweza kudumu kati ya saa moja hadi masaa matatu na nusu. Kupatwa kwa Mwezi kunasababishwa na kivuli cha Dunia kinachomwaga giza juu ya Mwezi kabisa au kisehemu. Hali hii inatokea wakati Mwezi - Dunia na Jua zinakaa katika mstari mmoja, ikiwa Dunia iko katikati ya Jua na Mwezi. Hapo kivuli cha Dunia inagusa Mwezi. Inatokea tu wakati wa mwezi mpevu. Hali hii ni kinyume cha kupatwa kwa Jua ambako Jua, Mwezi na Dunia ziko pia kwa mstari mmoja lakini hapo Mwezi uko kati ya Jua na Dunia na hapo ni Mwezi unaosababisha giza kenye uso wa ardhi pale ambako kivuli chake kinapita juu ya Dunia. Mara nyingi kupatwa kwa Mwezi si rahisi kutambua kwa sababu si kupatwa kikamilifu. Hapo Mwezi unapita katika nusukivuli cha Dunia tu. Nusukivuli ni hali ambako sehemu ya nuru inazuiliwa lakini sehemu nyingine bado inafika. Tofauti ya uangavu si kali sana. MUHAMMAD AKATUMIA KUPATWA KWA MWEZI NA KUDAI KUWA AMEUPASUA MWEZI.

Shalom,

Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW