Monday, May 14, 2018

MGANGA WA KIENYEJI "MUISLAM" AKAMATWA AKIJARIBU KULOGA MKUTANO WA INJILI KASULU

Image may contain: 7 people, people smiling, people standing
Katika hali isiyo ya kawaida hapa mjini kasulu Mganga maarufu sana hapa anayejulikana kwa jina la Sheikh Abdalah "MUISLAM" amekamatwa na na nguvu za Mungu akiwa anajaribu kuloga katika mkutano mkubwa wa Injili uliofikia tamati yake siku ya leo hapa mjini Kasulu.
Sheikh Abdalah alijikuta akinasa katika anga za Mkutano ulikoandaliwa na Mwinjilist Jailos Maloda kutoka Morogoro.
Sheikh Abdalah alikuwa katika harakati za kutaka kutekeleza mpango wa kumshambulia mtumishi Jailos Maloda, mpango ambao kwa maelezo yake ni kwamba alichaguliwa na wenzie baaada ya kuonekana kwamba yeye ndiye angekuwa na nguvu ya kutosha kuweza kumkabili mtumishi huyu wa Mungu.
Badala yake alijikuta akijipeleka mwenyewe mbele ya Mtumishi wa Mungu na hatimaye kuongozwa sara ya toba na Mikoba yake kuteketezwa kwa moto ikiwa pamoja na Quran.
Pichani Sheikh Abdala (Mwenye shati ya Mistari ya kijani na mnyeupe) amekaa kwenye kiti pamoja na wake zake baada ya kujisalimisha na kuamua kumpa Yesu maisha.
HAKIKA YESU NI MUNGU MKUU.

Image may contain: one or more people and shoes

Image may contain: 6 people, people standing and crowd

Image may contain: one or more people

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW