Sunday, April 22, 2018

ONYO KWA WABAKAJI, WALAWITI, WANAONYANYASA WATOTO KIMAPENZI:

Image may contain: one or more people
Bunge la Urusi (Russia) sasa limepitisha sheria mpya ya ubakaji, kulawiti na kunyanyasa watoto wa chini ya miaka 14. Mtu yeyote atakayepatikana na kosa la ubakaji, kuwalawiti na kunyanyasa watoto wa chini ya miaka 14 atahasiwa kutumia chemikali (chemical castration) na wahalifu watakao kamatwa mara ya pili na ma(kosa) hili/haya watafungwa kifungu cha maisha.
TAHADHARINI SANA ENYI WAPENZI WA NGONO HARAM!

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW