ALLAH NI SHETANI
Talaka maana yake nini?
Talaka maana yake ni kuachana au kutengana. Maana yake kisheria ni amri ya mahakama ya kuvunja ndoa. Chombo pekee chenye uwezo wa kuvunja ndoa ni mahakama tu. Mazoea ya wanandoa kupeana talaka mitaani aidha kwa maandishi au kwa mdomo, hizo si talaka kwa mujibu wa sheria ya ndoa. Ni lazima talaka itolewe na mahakama ili haki ya kila mwanandoa itamkwe bayana.
Mungu Mkuu anatazamia wale ambao wamefunga ndoa waendelee kuwa waaminifu kwa nadhiri ya ndoa. Alipokuwa akiunganisha mwanamume na mwanamke wa kwanza katika ndoa, Mungua Mkuu alisema: “Mwanamume . . . atashikamana na mke wake nao watakuwa mwili mmoja.” Baadaye, Yesu Kristo alirudia maneno hayo na kuongeza hivi: “Kwa hiyo, kile ambacho Mungu ameunganisha mtu yeyote asikitenganishe.” (Mwanzo 2:24; Mathayo 19:3-6) Hivyo, Mungu huona ndoa kuwa muungano wa kudumu ambao huisha wakati mwenzi mmoja anapokufa. (1 Wakorintho 7:39) Kwa kuwa ndoa ni mpango mtakatifu, talaka haipaswi kuonwa kuwa jambo dogo. Mungu anachukia talaka ambazo hazina msingi wa Kimaandiko.—Malaki 2:15, 16.
Lakini nilipo soma vitabu vya Waislam nikagundua yafuatayo:
Juhudi kubwa anayoifanya shetani ni kuleta mfarakano baina ya waume na wake. Kwa kufanya hivyo huhakikisha kuwa wanachukiana wao kwa wao. Kwa ajili hiyo huishia, katika talaka. Kwa hiyo matatizo yanajengwa katika familia hiyo. Utengano au talaka inapotokea, watoto hawawezi kulelewa kisawasawa na mzazi mmoja. Watakosa uimara katika utu wao, shetani (jinni) anapata urahisi kuingia ndani ya mioyo na akili za watoto. Atawaongoza kuelekea mahali pasipofaa na hapo anawafanya wawe wahalifu katika jamii (Asili ya majini, sheikh Dr. Ahmad H. Sakr Uk 39)
Kwa mujibu wa Quran na vitabu vya kiislam huyo anayeamuru talaka ni Allah. S.W. anayeabudiwa na waislamu.
Huu ni uthibitosho wa Allah kuteremsha aya ya talaka kwa Muhammad:
Katika suratul, Ahzab(Makundi), 33:49.
“ enyi mulioamini mtakapowaona wanawake wenye kuamini, kisha mkawapa talaka kabla ya kuwagusa hamna eda juu yao mtakayohesabu. Wapeni cha kuwauliza na muachane muachano mzuri”
Katika Suratul al- Baqarah, (Ng’ombe) 2:230.
“ Na kama amempa talaka ya tatu basi mwanamke huyo si halali kwake baada ya hapo mpaka aolewe na mume mwingine, na mwanamume huyo mwingine akimwacha basi hapo hapana dhambi kwao mume yule wa kwanza na mwanamke huyo kurejeana wakiona watasimamisha mipaka ya Mwenyezi Mungu.”
Kama shetani huleta faraka ili talaka zitokee, basi Allah S.W. yeye ameamrisha talaka kwa wafuasi wake bila kujali athari za watoto zitakazotokea. Tafakari yeye ni nani?
Ndio maana sikubahatisha na wala siwasingizii Waislam ninapo sema kuwa Allah ni Shetani.
Shalom,
Max Shimba Mtumwa wa Yesu Kristo Munguu Mkuu na Mwokozi wetu. Tito 2:13
No comments:
Post a Comment