Wednesday, March 28, 2018

KWANINI MUHAMMAD ALIOA MTOTO WA SHANGAZI YAKE?


Bibi Zainab bint Jahash (r.a.) alikuwa ni binti wa shangazi yake Mtume [s]. Bibi huyu aliolewa na Bwana Zaid bin Haritha kwa mapendekezo ya Mtume [s]. Bwana Zaidi bin Haritha (r.a.) alikuwa huria wa Mtume [s] na akamfanya mwanawe wa kulea. Ndoa hii ilifungwa kwa ajili ya kuondoa ubaguzi kati ya watumwa maskini na kusisitiza usawa na udugu wa Waislamu, kwa kuwa Bibi Zainab (r.a.) alitoka katika ukoo wa Bwana Abdul-Muttalib [a] babu yake Mtume [s] na mtemi wa Waquraishi, ambapo Bwana Zaid (r. a.) alikuwa mtumwa huria wa Mtume [s].

Kwa bahati mbaya, kwa sababu ya majivuno ya Bibi Zainab (r.a.) kuhusu ubora wa familia yake, Bwana Zaid hakuweza kuishi na mke huyo, ingawaje Mtume [s] aliwasihi ndoa yao iendelee.

Tofauti hizo zilizaa talaka. Wakati huo, mtindo wa watoto wa kulea ulikuwa umekatazwa na Mwenyezi Mungu (Qur'ani 33:45). Kwa hiyo, Bwana Zaid (r.a.) alipomtaliki Bibi Zainab (r.a.), Mtume wa Islamu [s] (Qur'ani 33:37) alimuoa Bibi Zainab (r.a.), na hivyo basi aliiulia mbali imani iliyokuwepo isemeyo kuwa watoto wa kulea walikuwa sawa na watoto wa kuzaa na kuwa wake au wajane wa watoto wa kulea walikuwa sawa na wakawana wa watoto wa kuzaa.

Yaani Muhammad kaoa mtoto wa Shangazi yake na mtalaka wa rafiki yake Bwana Zaidi. Kumbe Muhammad alikuwa anamtamani mke wa rafiki yae.

MSIBA HUU

Shalom



Image result for muhammad married zainab

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW