Tuesday, January 9, 2018

WAISLAM WAMETENGENEZA AGANO JIPYA FEKI NA KUBANDIKA JINA LA ISA BADALA YA YESU

Abel Suleiman Shiliwa
"TANGAZO KWAKO MKRISTO"
Ukikutana na Kitabu hiki ambacho kimeandikwa INJILI, ambapo ni Kiarabu na Kiswahili, usiinunue ni Injili iliyoghoshiwa! wamempachika Isa kwenye maneno ya Kiswahili wakati Kiarabu kimemtaja يسوع (Yasuu)
Maandishi ya Kiarabu yapo sahihi kabisa ila TAFSIRI ndiyo ambayo imechakachuliwa! kama alivyosema Mtume PAULO.
Wagalatia 1:6 Nastaajabu kwa kuwa mnamwacha upesi hivi yeye aliyewaita katika neema ya Kristo, na kugeukia injili ya namna nyingine.
Kwenye Tafsiri ya Kiswahili wamepachika Jina la ISSA ili kuwaaminisha watu kuwa YESU ndiye Isa.
Ila Picha ambayo imeandikwa.
NENO AGANO JIPYA:- hiyo ni Tafsiri sahihi kabisa, ambayo ndiyo ya kwanza, Yasuu ametajwa YESU, maana ndivyo ilivyo!
Kuna picha nne, Kava ya Juu na ndani, Utaona tofauti yake.








No comments:

JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD "

 JESUS DECLARES THAT "HE IS THE LORD JEHOVAH GOD " Author: Dr. Maxwell Shimba  Jesus Declares, “I am the Alap and the Tau” – Under...

TRENDING NOW