Sunday, September 10, 2017

MAANDIKO YA MAOMBI YA UPONYAJI

Image may contain: text
1. Zaburi 91:16 Kwa siku nyingi nitamshibisha, Nami nitamwonyesha wokovu wangu.
2. Zaburi 103:3 Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana, Wala usizisahau fadhili zake zote.
Akusamehe maovu yako yote, Akuponya magonjwa yako yote
3. Yeremia 30:17 Maana nitakurudishia afya, nami nitakuponya jeraha zako, asema Bwana, kwa sababu wamekuita, mwenye kutupwa, wakisema, Ni Sayuni, ambao hapana mtu autakaye.
4. Zaburi 118:17 Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya Bwana.
5. Yohana 10:10 Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele.
6. Zaburi 107:20 Hulituma neno lake, huwaponya, Huwatoa katika maangamizo yao.

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW