Sunday, August 6, 2017

USHOGA NA USAGAJI KUKITHIRI ZANZIBAR.

Image may contain: 1 person, sitting and indoor
Baadhi ya dondoo katika utafiti uliofanywa na Jumuiya ya Maimam Zanzibar (JUMAZA)
1.Zanzibar imetokea Mama mtu amefanya sherehe ya mtoto wake wa kiume kuolewa na mwanamme mwenzake
2.Wilaya ya Mjini pekee Mabaradhuli waliojitokeza wenyewe kujitambulisha ni 2,000
3.Asilimia 42 ya watoto wanaharibiwa na Walim wa Madrassa hasa katika baadhi ya vyuo vya dufu.
4. Wazee wa kiume wanawalawiti kwa kuwabaka watoto wao wa kuwazaa kike kiume Zanzibar
6.Utafiti uliofanywa mwaka 2012 na wataalam kutoka nchi za nje umebainisha kuwa kati ya vijana 10 wa Zanzibar watatu kati yao wameshaathirika na Ubaradhuli au ushoga
7. Wengi wenye kutenda amali hii chafu ya liwati na wanaobaka hulindwa katika jamii, vyombo vya usalama na vyombo vya dola
8. Vita ya kupambana na amali hii chafu ya liwati ni sawa na vita ya madawa ya kulevya na ujambazi
9. Wanaopambana na kuuzuwia uchafu huu wa liwati tayari
wanatishiwa usalama wa uhai wao
10. Asilimia 90 ya wanaoharibu watoto na vijana ni baadhi ya viongozi wa serikali na wa vyama vya kisiasa
11. Kati ya wanawake vijana 10 Zanzibar wawili mpaka wanne kati yao wameshaathirika na usagaji wengi kati yao ni wanafunzi mashuleni hasa za mjini
12. Wasagaji ambao ni jamii ya wanawake wanapeana mafunzo na kufadhiliwa na taasisi za nje na za ndani ktk kumbi za starehe kwa njia za siri

No comments:

Muhammad’s Fear Of Judgment Day

  Muslims beware! The next  eclipse  could be the  Day of Judgment .  This warning comes from none other than Muhammad himself. During the l...

TRENDING NOW