Shalom wana wa Mungu. Leo nimeamua kunena juu ya Mpinga Kristo.
Mpinga-Kristo ni nani?
(1 Yohana 2:18) Neno “mpinga-Kristo,” linalotokana na neno ya Kigiriki linalomaanisha “dhidi ya (au badala ya) Kristo,” linafafanua mtu yeyote anayefanya mambo yafuatayo:
1. Anakataa kwamba Yesu ndiye Kristo (Masihi) au anakataa kwamba yeye ni Mwana wa Mungu.—1 Yohana 2:22.
2. Anampinga Kristo, Mtiwa-Mafuta wa Mungu.—Zaburi 2:1, 2; Luka 11:23.
3. Anajifanya kuwa Kristo.—Mathayo 24:24.
4. Anawatesa wafuasi wa Kristo, kwa kuwa Yesu huona mambo wanayotendewa kana kwamba ni yeye anayetendewa.—Matendo 9:5.
Jinsi ya kuwatambua wapinga-Kristo
Wanaeneza mawazo ya uwongo kumhusu Yesu. (Mathayo 24:9, 11) na kumbatiza majina ya uongo kama Isa Bin Maryam.
JE, UISLAM NA MUHAMMAD UNASEMA NINI KUHUSU YESU KRISTO?
1 Yohana 2:22 Ni nani aliye mwongo ila yeye akanaye ya kuwa Yesu ni Kristo? Huyo ndiye mpinga Kristo, yeye amkanaye Baba na Mwana. 23 Kila amkanaye Mwana, hanaye Baba; amkiriye Mwana anaye Baba pia.
VS.
Surat Mariam 88 Na wao ati husema kuwa Arrahmani Mwingi wa Rehema ana mwana!. 89 Hakika mmeleta jambo la kuchusha mno!
Quran inapinga kuwa Yesu sio Mwana wa Mungu. Ndio maana hatuwezi iamini wala amini aliye ipokea wala amini aliye ituma.
Muhammad said, Jesus is Not the Son of God and Christ! Who do you think Muhammad is?
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo, Mungu Mkuu na Mwokozi wetu.
No comments:
Post a Comment