Hii ni siri kubwa inayo wekwa na Waarabu. Israel imekuwa inamiliki visiwa viwili vyenye ukubwa wa Kilometa 113 "113 Square Km" tangia mwaka 1967. Visiwa hivi vipo kwenye mdomo wa Gulf of Aqaba, kuelekea kwenye bandari ya kusini mwa Israel ya Eilat na kwenda kwenye Bahari ya Sham "Red Sea"
Ingawa Serikali ya Saudi Arabia inadai kuwa, eti, hivyo visiwa ni vidogo na haivijali, lakini la maana ni kuwa, anaye viongoza hivyo visiwa ndie anaye ongoza Gulf ya Aqaba. Hivi visiwa ni vya maana kama ilivyo kwa Hanish archipelago kwenye upande wa pili wa Bahari ya Sham.
Utawala wa Israel kwenye visiwa hivyo vya Tiran na Sanafir unathibitisha kuwa, Israel ni nchi babe kwa Saudi Arabia na ndio wanaweka masharti ya nani aongoze Gulf ya Aqaba.
Kwa habari kamili ingia hapa:
No comments:
Post a Comment