Bwana Yesu asifiwe…
Mtunga Zaburi, anasema;“ Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, Ndugu wakae pamoja, kwa umoja.” Zaburi 133:1
“Mpende jirani yako kama nafsi yako” ni amri ya pili iliyo kuu. Imeandikwa;“ Na ya pili ndiyo hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako. Hakuna amri nyingine iliyo kuu kuliko hizi.“Marko 12:31 (Ya kwanza ni mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote. Marko 12:30) Amri hii ilitolewa na BWANA mwenyewe tangu kipindi cha Musa, ( Walawi 19:18). BWANA MUNGU aliwataka watu wake wasifanye kisasi,wala kuwa na kinyongo bali waishi maisha ya kupendana.
Hili ni jambo jema maana Waislam wakiona hivi, huwa wanapaniki na kuweweseka. Tulieni na msubiri ubatizo.
Shalom,
No comments:
Post a Comment