Mathayo 18: 19 Tena nawaambia, ya kwamba wawili wenu watakapopatana duniani katika jambo lo lote watakaloliomba, watafanyiwa na Baba yangu aliye mbinguni.
20 Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.
20 Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.
Hii ndio raha ya kuwa na Yesu katika maisha yako. Kamwe hato kuacha mpweke.
Say Amen to God and Share... Amen.
No comments:
Post a Comment