Ingawa hii ni asilimia ndogo ukilinganisha na watu wote wanao ishi Saudi Arabia, lakini asilimia hii ya 4.4 ni ongezeko kubwa kutoka ile ya 0.1 ya miaka mia iliyo pita.
Uislam ni dini ya nchi ya Saudi Arabia na Ukristo ni marufuku katika nchi hiyo. Adhabu ya kuwa Mkristo nchini humo ni kifo kwa kukatwa kichwa.
Adhabu hii ya kifo imeshindwa kumzuia Yesu kuto ingia nchini humo na kwasasa Ukristo unaongezeka kwa nguvu ya ajabu.
Kwa habari kamili ingia hapa: http://thesocialmag.net/muslims/
No comments:
Post a Comment