Gazeti la "Morning Star News" limesema kuwa Wakristo 13 wamekatwa vichwa na Waislam wa siasa kali baada ya kugoma kusema Shahada ya Kiislam.
Magaidi hawa wenye asili ya Somalia walivamia vijiji viwili vya Jima na Kipini Ijumaa iliyo pita na kufanya haya mauwaji mabaya huku wakisema Allahu Wakbar.
Wafuasi hawa wa Muhammad waliwauwa Wakristo hao kwasababu waligoma kata kata kujiunga na dini ya Kiislam.
Kwa habari kamili ingia hapa https://www1.cbn.com/…/kenya-beheadings-radical-islamists-t…
No comments:
Post a Comment