Mahakama ya Idi-Ogungun huko Agodi, Ijumaa iliyopita ilivunja ndoa ya miaka 16 baada mke wa mwana mitindo Kolawole Adegoke kupika nyama ya Nguruwe na kuumpa mama mkwe wake.
Adeyinke ambaye ni mtuhumiwa na aliye pewa talaka, inadaiwa alipika kwa makusudi nyama hiyo ya Nguruwe na kumpa mama mkwe wake ambaye ni Muislam.
Mtuhumu bwana Kolawole Adegoke alidai kuwa, mke wake amekuwa hamtii na alifanya hivyo kwa makusudi na kuomba Mahakama ivunje ndoa yake.
Kwa habari kamili ya nini kilitokea soma hapa
No comments:
Post a Comment