Waislam huanza kwa kusema, lete andiko Yesu kaingia Kanisani. Halafu wanasema kwa kejeli Takbir, Takbir, Wakristo wanainamisha vichwa kwa aibu. Kumbe hawa wafuasi wa Allah ni bure kabisa, maana Allah amewajibu kuwa KANISA NI NYUMBA YA IBADA TAKATIFU na Jina la Mwenyezi Mungu hutajwa humo.
Suratul Hajj 40. Wale ambao wametolewa majumbani mwao pasipo haki, ila kwa kuwa wanasema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu! Na lau kuwa Mwenyezi Mungu hawakingi watu kwa watu, basi hapana shaka zingeli vunjwa nymba za wat'awa, na MAKANISA, na MASINAGOGI, na MISIKITI, ambamo ndani yake jina la Mwenyezi Mungu linatajwa kwa wingi. Na bila ya shaka Mwenyezi Mungu humsaidia yule anaye msaidia Yeye. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu Mtukufu. http://www.quranitukufu.net/022.html
Umoan hapo? Allah kaanza kulitaja KANISA, HALAFU LIKAFUATA SINAGOGI. Mwenye akili atalewa kwanini Kanisa lilitajwa kwanza na Msikiti ukawa wa Mwisho.
Hata wale wanao dai eti Sinagogi ni Msikiti, leo hii Allah kawamaliza kwa kuwapa aya na kutenganisha Majumba/majengo hayo kimajina.
Ndio maana Wakristo tunao jitambua hatuwezi kufuata mkumbo kama Waislam.
AYA HAPO JUU INATAJA MAJENGO TOFAUTI TOFAUTI YA IBADA IKIWEMO, SINAGOGI, KANISA, MISIKITI.
No comments:
Post a Comment