(1) PHYSICS-LAW OF FLOTATION - Kwa kutembea juu ya maji, Matthayo 14:22-33
(2) GRAVITATION - Kwa kupaa mbinguni, Matendo 1:9-12
(3) CHEMISTRY - Kwa kubadilisha maji kuwa divai. Yohana 2:1-11
(4) ECONOMICS - Kwa kulisha maelfu ya watu kwa mikate 5 na samaki 2.Matthayo 14:13-21
(5) BIOLOGY - Alizaliwa bila mwanaume. (Matthayo 1:18-25)
(6) MICHEZO NA TUZO - Wakwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza. Matthayo 20:16
(7) MATHEMATICS NDIO KAFUNIKA - Mke+mme= mwili mmoja Ecclesiastes 4:9-12
(8) TIBA - Alitumia tope kumponya kipofu. Yohana 9:1-12.
(9) MAGICS - Alimfufua Lazaro!! DAH KWELI HAKUNA WA ZAIDI YA YESU!!! Yohana 11:38-44
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.
No comments:
Post a Comment