Kijana wa Kiislamu aitwaye Abdalah Likukula – wakiwa kwenye mjadala pamoja na vijana Wakristo, Waislamu wale wakaanzisha ajenda ya kukojolea Quran kuwa ukiikojolea tu uume utakuwa mrefu mpaka chini, kijana wa Kiislamu Abdalah Likukula akawaambia kuwa huo ni uongo msidanganye watu, basi wakabishana ndipo kijana mmoja wa Kiislamu akaenda Msikitini kuchukua Qurani na Kumwambia Likukula hebu kojolea tuone, ndipo kijana huyu ambaye ni Muislamu akawaambia leteni box ili iloane vizuri basi ili kukamilisha ubishi wao – Likukula akaikojolea Qurani ndani ya box, akasema tuone kama ume wangu utakuwa mrefu.
Waislamu badala ya kusubiri uume wa Muislmu yule uwe mrefu, wakakimbilia Msikitini na kusema kuna mtu kakojolea Quran, wakatoka mpaka eneo la tukio kisha zogo likaanza wakampeleka kituo cha Polisi Kilakala kisha kituo cha Polosi Chang’ombe, Waislamu wengine waliposikia wakaenda Polisi wakifikiri ni Mkristo kisha Likukula akapeleka Mahakamani wilaya ya Temeke.
Wakati kesi ikiendelea Abdalla Likukula akamwambia Hakimu wa PP, kuwa nashangaa hawa Waislamu badala ya kuacha uume wangu uwe mrefu eti wananipeleka Polisi, kisha mahakamani, lakini yupo aliyeleta Quran, na wale tuliokuwa tunabishana naomba wote waletwe mahakamani.
Wale jamaa waliposikia nao waletwe Mahakamani wakakimbia mpaka leo hawapo Kilakala. Kwa tukio hili hatujawaona Waislamu wakiandamana na kuvunja magari, kuiba vitu na kuchoma Misikiti kwa kukojolea Qurani yao, kisha kesi ile ilifutwa na kijana aliachwa huru.
Haya ni matokeo ya kuaminishwa. Eti ukiikojolea Quran sijui utapata madhar.
No comments:
Post a Comment